Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
 
Takukuru na Mahakama zetu zinaonea gagaa wenye makosa makubwa hawaguswi wanyonge wakigusa pesa ndogo ndogo ndio Takukuru wanatangaza kwa mbwe mbwe

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kifungo cha miaka kinachozidi miaka 30 ktk sheria za Tz labda angekuwa ameua au kubaka , unaweza kuta huyo hakai zaidi ya miaka minne jela makosa yote atatumikia kwa pamoja
Kuna habari huku jf kuhusu mwalimu wa kanisa kuhukumiwa miaka 30 kwa kulawiti mtoto ambaye alikuwa anawafundisha. Je hiyo miaka 30 atatumikia miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…