Unaijua tofauti Kati ya JKT na Suma JKT?Hilo nami nimejiuliza. Labda ni degree holder na ni miongoni mwa waliorudishwa nyumbani baada ya mikataba yao kuisha JKT (OP KIKWETE & MAGUFULI) akaamua ajishikize huko suma.
Ni Jambo la heri kuona wananchi wanashirikiana vizur kiasi hcho!
Kama mikoa yote tungekuwa na ushirikiano wa namna hii, Basi tungeheshimiana Sana mitaani!
Yaani mpaka nimecheka kwanza kwa swari lako. Jibu ni kwamba nazijua vizuri kuliko unavyodhania mkuu.
Swari?Yaani mpaka nimecheka kwanza kwa swari lako. Jibu ni kwamba nazijua vizuri kuliko unavyodhania mkuu.
Mtu anarisk maisha yakeKama hiyo haitoshi, shuhuda huyo alisema lilijitokeza kundi la wananchi waliokuwa wakitokea kwenye msiba na kuanza kuwasaidia vijana hao na ndipo askari wawili walifanikiwa kukimbia kusikojulikana wakizitelekeza pikipiki zao mbili ambazo baadaye zilichomwa moto na wakazi hao.
Hata hivyo, mmoja wao aliyebaki alikimbilia iliyo jirani na kujifungia, lakini wananchi kwa hasira walivunja dirisha la nyumba hiyo na kumtoa nje na kuanza kumshushia kipigo kikali kabla ya Polisi kufika na kumuokoa.