Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

IMG_20231113_233401.jpg
 
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni.

Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote anaodhania watakuwa watiifu kwake.

Tayari faili la bwana mdogo Ally ameliitisha mezani. Na duru zinatabanaisha ni swala la wakati tu bwana mdogo yule atajumuishwa.

UWEZEKANO WA MUUNDO WA UONGOZI WA CCM SIKU CHACHE ZIJAZO:-

Mwenyekiti: Samia Suluhu Hassan

Katibu Mkuu: Paul Makonda

Katibu Mwenezi: Ally Hapi

Nafasi za ngazi zingine zitabaki na watu waliopo.

Onyo!

Yule mpayukaji na mlima MTAMA anatafutiwa angle tu wale kichwa! Asiyegusika ameshalia kwa boss na kumwambia asingependa kufanya naye kazi.
Kwahiyo mafuriko yataisha Dar..!?
😄😄
Aisee..
 
Tayari faili la bwana mdogo Ally ameliitisha mezani. Na duru zinatabanaisha ni swala la wakati tu bwana mdogo yule atajumuishwa.

UWEZEKANO WA MUUNDO WA UONGOZI WA CCM SIKU CHACHE ZIJAZO:-

Mwenyekiti: Samia Suluhu Hassan

Katibu Mkuu: Paul Makonda

Katibu Mwenezi: Ally Hapi

Nafasi za ngazi zingine zitabaki na watu waliopo.

Onyo!
Vipi mstaafu wa chamani (II kwa sasa) aliyekoswakoswa kukong'otwa anasemaje?
Unadhani huenda ni mkakati wa kumpooza Jaji wa Ubungo Plaza?
 
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni.

Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote anaodhania watakuwa watiifu kwake.

Tayari faili la bwana mdogo Ally ameliitisha mezani. Na duru zinatabanaisha ni swala la wakati tu bwana mdogo yule atajumuishwa.

UWEZEKANO WA MUUNDO WA UONGOZI WA CCM SIKU CHACHE ZIJAZO:-

Mwenyekiti: Samia Suluhu Hassan

Katibu Mkuu: Paul Makonda

Katibu Mwenezi: Ally Hapi

Nafasi za ngazi zingine zitabaki na watu waliopo.

Onyo!

Yule mpayukaji na mlima MTAMA anatafutiwa angle tu wale kichwa! Asiyegusika ameshalia kwa boss na kumwambia asingependa kufanya naye kazi.
Hapi atulie kwanza ishu yake ya kuchukua rushwa kwa wachimbaji wa madini mama bado ana mzoom.
 
Back
Top Bottom