Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

Thank you!
 
Your enemy is only your enemy because you have made him or her neno mama wa kambo that's your enemy

Embu jiulize usinge olewa wewe nani angeishi na huyo mtoto.
 
Aya mama pole
 
Dah....hapa nilipo nina watoto 9 nje....najipanga jinsi ya kuwaleta home [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Msamiati 'mama wa kambo' nimeukuta hapa kwa hii dunia. Hata nikiukataa obviously nitakuwa labled hivyo tu. Si bora niukubali mapema. Siku hizi kuna mwingine 'mama mlezi' hata kwenye sherehe za harusi pale kama umelea mtoto MC anasema kuna mama mlezi na mama mzazi.
Tuache hayo, kujibu swali lako nisingeolewa mimi baba yake angejua kuhusu hilo.
Your enemy is only your enemy because you have made him or her neno mama wa kambo that's your enemy

Embu jiulize usinge olewa wewe nani angeishi na huyo mtoto.
 
Dah....hapa nilipo nina watoto 9 nje....najipanga jinsi ya kuwaleta home [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Na home una wangapi? Taarifa ulitoa mapema kabla ya ndoa? au home hiyo ni ipi. Kama hujaoa basi taarifa ya watoto utoe mapema kwa mke mtarajiwa.Kila la heri
 
Hahahaha....mi ningemuambia kamuambie mama ako...maji ya jioni[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!
Maana km mama ake kichaa Mimi namtibia sasa!
 
Huhitaji kujiandaa kisaikoloji,ni kumpokea na kumkubali kama mtoto wako.Changamoto ni kama mama yake wa kumzaa yupo,sina hakika kama utaweza kumlea vizuri.Ukimkaripia au kumuonya ni rahisi kumkumbuka mama yake na kutamani kurudi.
Kwa jinsi ulivyochangia utaona kujiandaa kisaikolojia ni muhimu.
 
Hehehee kwa kwa kweli huyo mtoto amekuja amejipanga vizuri. Sipati picha khaaa

Acha roho mbaya mpokee tu kwani nae alipenda kuwa mtoto wa kambo.Nakushauri ni kheri mchukie mumeo kwa UMALAYA wake ila sio huyo mtoto hana hatia.
 
Hahahaha....mi ningemuambia kamuambie mama ako...maji ya jioni[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!
Maana km mama ake kichaa Mimi namtibia sasa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya mambo sio marahisi kwa familia zote, na sio marahisi wakati wote
 
Unaweza kuishi na mtoto wa mkeo?.
 
wanakuwaga na akili kuliko ngedere zetu tulizozizaa kwenye ndoa
 
Acha roho mbaya mpokee tu kwani nae alipenda kuwa mtoto wa kambo.Nakushauri ni kheri mchukie mumeo kwa UMALAYA wake ila sio huyo mtoto hana hatia.
Acha roho mbaya mpokee tu kwani nae alipenda kuwa mtoto wa kambo.Nakushauri ni kheri mchukie mumeo kwa UMALAYA wake ila sio huyo mtoto hana hatia.
Mimi nimchukie kwa lipi sasa. Roho mbaya sina labda wewe ndio usomi ukaelewa umekalia kuhukumu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…