Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,441
Kuna conflict hapa mimi na my future wife

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..

Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience

Hii imekaaje waungwana
 
Kila kabila hapa tz lina utaratibu wa namna ya kuchumbia.kuvishana Pete ni taratibu za wazungu.Ushauri wangu ni kuwa tumia taratibu za kwenye kabila lako.Kamwe usimpigie goti mwanamke.
Kama umeshindwa kutatua changamoto ndogo tu hiyo,utaweza kweli kumudu magumu ya kwenye ndoa?
 
Wanaume wenyewe hawa wa kibongo? Goti anakupigia na matukio anakupiga nayo pia
 
Kuna conflict hapa mimi na my future wife

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..

Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience

Hii imekaaje waungwana
Sio kwamba makanisani ndio wanapigiana magoti, mean wakristo huwa wanafanya huo upumbavu.
 
Kuna conflict hapa mimi na my future wife

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..

Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience

Hii imekaaje waungwana
Mpaka hapo hakuna ndoa
 
Achaneni, kama mnabishania hilo swala nyie kuishi ndani ya nyumba moja itakuwa kizaazaa.​
 
Back
Top Bottom