Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

ni nyie tu na maamuzi yenu[emoji3][emoji3] mkiamua kusimama wote kama milingoti haya ila kama binti ana adabu kidogo atapiga tu goti ila kama ni mchaga mmh sijui [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
......so I'm not yet to prove that infront of an audience...

Tena unakuja mbio mbio kutuuliza imekuaje unatujaribu waungwana[emoji1787][emoji1787] Nenda kapige goti huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiamua kuiga utaratibu wa wenyewe iga kikamilifu piga goti,au laa tumia utaratibu wa kwenu nanyirimbi shughuli iishe.
Watu mnachekesha sana mnataka uzungu lakini kwa style zenu nyinyi matokeo yake mnaonekana kama mahayawani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna conflict hapa mimi na my future wife

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..

Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience


Hii imekaaje waungwana
HUna akili za kuoa bado wewe
 
Hivi kwani ni lazima kupiga goti ktk tukio la kuvishana Pete? Nazungumzia kwa wote hapo?

Si mnavalishana mkiwa mmesimama bas shughuri kwishaa, nini shida hapo?

Vitu vingine viwapite, ikiwa hamviwezi kuvimudu, Lol
 
Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience
Mimi sipigi GOTI chini tamaduni hio ibakie huko huko ilipotokea tamaduni yetu Mwanamke ndie anatakiwa kupiga GOTI chini tena anapokuja kuchumbiwa inabidi atembee kwa magoti mpaka alipo mtu wake na kumpa Glass siku hizi wamemodify ila zamani ilikua ni kibuyu fulani km kikombe ndani kinawekwa Pombe ya kienyeji au Mvinyo wa kienyeji na mwanaume hupokea na kunywa kisha anamwinua Mwanamke wake kukumbatiana na mambo mengine yanaanzia hapo, yaan nilipe ng'ombe kibao kwa ng'ombe mmoja kisha mimi nipigie magoti ng'ombe mmoja ambae nimetolea ng'ombe wengi how come?
 
Inagharimu nini kwani kupiga goti kwa mwanaume wako?

Siku wanawake wa kiafrika wakitambua wanaolewa na wanaume wa kiafrika waliolelewa wakiona na kujitambulisha kimamlaka, maisha yatakuwa salama sana kwa wengi!


Mwanaume wa Kiafrika akapige gote mbele ya baba yake na baba yako ili akuvalishe pete?
Mimi nina mtoto wa kiume!
Magoti atampigia mkewe wakiwa chumbani huko, sio mbele yangu. mXXIIIIIIIIIIEEE!

Hata mwanaume wangu sitaki anipigie magoti mbele za watu, ndani agaregare kabisa, fresh!
Kuna vitu when done mahali kwingine havileti chochote zaidi ya udhalili tu!
 
Mi huwa nawashangaa watu weusi yani mmeamua kuiga utamaduni wa wazungu halafu mnajifanya kuingiza umatumbi wenu, huo utamaduni wa kuvalishana pete za uchumba ni wa wazungu na kwa mujibu wa utamaduni huo, mwanaume ni lazima apige goti kama ishara ya kumuomba binti aolewe naye sasa kama wanaume wa kibongo mnaona hamuwezi kupiga goti basi achaneni kabisa na huo utamaduni, komaeni na utamaduni wenu toeni tu mahari kisha mfanye harusi msiige tamaduni ambazo hamziwezi halafu mnakuja kuingiza ujinga wenu, kiasi kwamba mnaharibu maana nzima ya utamaduni husika ni either muige kama ulivyo au muachane nao kabisa wala msijilazimishe
 
Kuna conflict hapa mimi na my future wife

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..

Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience


Hii imekaaje waungwana
Kama msha anza kubishana zaizi juu ya jambo dogo kama hilo jitafakari. Ndoa ni matatizo kwa dunia ya sasa. Achana na ndoa itakuumiza na kukupotezea muda wako.
 
Ambaye haleti pesa hapo ndani ndo apige magoti
 
Kuvishana pete ni utamaduni wa kizungu, angalia huwa wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom