Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

Ukiamua kuiga utaratibu wa wenyewe iga kikamilifu piga goti,au laa tumia utaratibu wa kwenu nanyirimbi shughuli iishe.
Watu mnachekesha sana mnataka uzungu lakini kwa style zenu nyinyi matokeo yake mnaonekana kama mahayawani!
 
..kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..
Unabishana kivipi wakati wewe ndo umeshika mpini??

Hapo unasitisha tu mchakato, unampa maelekezo kuwa atakapokuwa tayari kukupigia goti kwa unyenyekevu akufahamishe mpange upya.

Wakati unasubiri unaendelea kusaka mwenye adabu
 
Ukimpigia goti mwanamke umeupoteza ushindi.

Si unaona yaliyomkuta mc pilipili? Alipiga magoti mpk aka akatoa mchozi...Kiko wapi?
 
Inategemea na kabila la pande mbili za makabila
 
Back
Top Bottom