The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Hii ni Kali wachaga kupiga magoti ni mtihani!!!!ni nyie tu na maamuzi yenu😀😀 mkiamua kusimama wote kama milingoti haya ila kama binti ana adabu kidogo atapiga tu goti ila kama ni mchaga mmh sijui 😀😀😀
yaani wanaona kama wanaonewaHii ni Kali wachaga kupiga magoti ni mtihani!!!!
Wanaume wenyewe hawa wa kibongo? Goti anakupigia na matukio anakupiga nayo piaKila kabila hapa tz lina utaratibu wa namna ya kuchumbia.kuvishana Pete ni taratibu za wazungu.Ushauri wangu ni kuwa tumia taratibu za kwenye kabila lako.Kamwe usimpigie goti mwanamke.
Kama umeshindwa kutatua changamoto ndogo tu hiyo,utaweza kweli kumudu magumu ya kwenye ndoa?
Sio kwamba makanisani ndio wanapigiana magoti, mean wakristo huwa wanafanya huo upumbavu.Kuna conflict hapa mimi na my future wife
Soon nitamvalisha Pete ya uchumba
Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..
Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion.. so I'm not yet to prove that infront of an audience
Hii imekaaje waungwana
Kimbia,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..
Mpaka hapo hakuna ndoaKuna conflict hapa mimi na my future wife