π€£π€£π€£au nani alale ukutaniKimbia,
Hafai kuwa mke huyo, mtabishana hata nani alaliwe!!
We Asante weweeππππΎKimbia,
Hafai kuwa mke huyo, mtabishana hata nani alaliwe!!
Unabishana kivipi wakati wewe ndo umeshika mpini??..kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti..
πππMmeamua kubishana vitu vya kijinga sana. Mkiingia kwa ndoa vikajq vitu vya msingi mtabishana hadi mtoane ngeu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kimbia,
Hafai kuwa mke huyo, mtabishana hata nani alaliwe!!
Bora ni cancel tukioNawaheshimu sana wanawake na kuwapenda sana lakini mkuu usimpigie goti mwanamke π
HapanaKapige magoti
I won't kneeling downWewe kama wewe unatakaje? Yaani wewe deep down in your heart unatakaje?