Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

Yaani ww ni mvulana, siyo mwanaume kamili. Yaani huo ni ujinga wa 100% kwa mwanaume kumpigia mwanamke magoti. Imeandikwa, mwanaume ndio kichwa cha familia
 
Wote mpigiane magot msala uishe
 
Jomba, achana na hiyo uchumba wala ndoa. Fanya kwanza uwe mwanaume halafu utaoa
 
Hivi kwani pete n lazima wazee waje mle ubwabwa yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…