Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama ilivyotokea kwenye rufaa ya FIFA.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ndivyo watakavyojifariji Kama walivyojifariji kwa yaliyotokea kwa Ndombo Ngoma Jana.. ...stay tuned
Manara anaambukiza akili , ni kiumbe wa ajabu sanaHahahah mkiaFc wanasumbua kweli eti wanaleta straika anayekabwa na mabeki wa5 hahaha
kabisa wajiandae kisaikolojiaMkuu hao jamaa ni Kama sponge likiwekwa kwenye Maji safi linafyonza likiwekwa kwenye Maji taka pia linafyonza
HahahahaManara anaambukiza akili , ni kiumbe wa ajabu sana
Vipi kuhusu Ngoma ? Offer yenu ya 180ml imeishia wapi? Mmedanganywa mkadanganyika subiri uone Aisha Manula na Niyonzima kama utawaona msimbaziHuruma gani mnayoionea simba ? Shabaladala, nimeshindwa kuionea huruma yanga haina mwelekeo sasa
Dah, we Jamaal mbaya Sana. Yaani Nokia FC no Kama sponge?Mkuu hao jamaa ni Kama sponge likiwekwa kwenye Maji safi linafyonza likiwekwa kwenye Maji taka pia linafyonza
Haina mwelekeo ki vp?kwani nani bingwa?Huruma gani mnayoionea simba ? Shabaladala, nimeshindwa kuionea huruma yanga haina mwelekeo sasa
Suub-hana-allahu! Kumbe Ismail Aden Rage ni mtu na akili zake...wallah mimi kusikia makelele yooote yale mpaka tukaanza kupangiwa kikosi cha msimu ujao na Niyonzima akiwemo nilijua ameshasaini! Wamerogwa na nani hawa?Niyonzima haja saini nawala hana maongezi yoyote na hawa mbumbumbu