Soon Simba SC wataaminishwa Mo kamkataa Niyonzima

Soon Simba SC wataaminishwa Mo kamkataa Niyonzima

Huruma gani mnayoionea simba ? Shabaladala, nimeshindwa kuionea huruma yanga haina mwelekeo sasa
 
Mkuu hao jamaa ni Kama sponge likiwekwa kwenye Maji safi linafyonza likiwekwa kwenye Maji taka pia linafyonza
Dah, we Jamaal mbaya Sana. Yaani Nokia FC no Kama sponge?
 
Niyonzima ni mchezaji wa Yanga fc.
Mbona wana Simba sc, hatuna habari kuwa atasaini Simba sc.
Yanga fc. Mnamambo ya ajabu hasa,
Ninani kawaambia eti Mo atamkataa Niyonzima.
Alimkubali lini?
Au mnasoma kwenye magazeti yenu.
Yaani mchezaji wenu mnaisingizia Simba sc bila hata kusaini mkataba
na timu.
Kwataarifa yenu Niyonzima hayupo kwenye mipango ya kocha wa Simba sc.
Na wala hatumuhitaji labda mchezaji mwenyewe kama ataomba kujiunga na Simba sc, tunaweza kumfikiria kwasababu bado anaonekana ni mzuri uwanjani.
Niyonzima ni mchezaji wenu acheni kuweweseka.
 
Hilo gazeti daaaaaah! mbona kama vile habar zake ni hewani hewani kila siku? Kesho wataandika Msuva kasaini Mikia Fc
 
Niyonzima haja saini nawala hana maongezi yoyote na hawa mbumbumbu
Suub-hana-allahu! Kumbe Ismail Aden Rage ni mtu na akili zake...wallah mimi kusikia makelele yooote yale mpaka tukaanza kupangiwa kikosi cha msimu ujao na Niyonzima akiwemo nilijua ameshasaini! Wamerogwa na nani hawa?
 
Back
Top Bottom