Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Watajuana wenyewe.
Personally namfahamu dada Sophia Mjema ana roho nzuri sana kama walivyo waislam wengi.
Chadema iitishe maandamano nchi iuzwe kila mtu apewe chake akafie mbele.
 
Shaka Anashushwa Kwenye V8,Halafu Mjema Anaipanda Chap

Sijui Naye Atalalia Kitanda Futi Mbili Kama Yule Mwenezi Wa Malawi
 
Hii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!

Na kama ni hivyo....

CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.

Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.

Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
Naona chawa wa shaka ukisikitika
 
Naongelea katibu mwenezi kwa mfano tu.
Ingawa hata katibu mkuu ndio Router ya hoja za chama,napo pia oamepwaya!

Naongelea katibu mwenezi kwa mfano tu.
Ingawa hata katibu mkuu ndio Router ya hoja za chama,napo pia oamepwaya!
Kwa siasa zetu mgombea ndiye mwenye athari kwa watu,lini watu walikikubali chama kisa katibu mwenezi!?
 
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Leo ndio nimejua kuwa kumbe Mwenezi wa chama ni zaidi ya RC!. Ila Sofia Mjema yuko vizuri maana ni mashallah!, mimi ningekuwa kiongozi, kusema la ukweli ningeishia tuu kufukuzwa kazi kwa kosa la kuishiwa uvumilivu!, kuna vitu kiukweli yataka moyo kuvumilia...
P
 
kwa kweli kwa bi sophy,wa upanga mwenzio, mungu kambariki
 
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu

Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.

===

Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar

---

Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,

====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu

2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara

3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa

4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi

5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha

6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa

7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Shaka Hamdu Shaka ni "mpwa" wa Samia. Baada ya watu kupiga kelele za nepotism hasa hapa JF, chama kimeamua kumuondoa.
 
Wazee huku Koromije wanauliza vipi kijana wetu kasahaulika?
Paul_Makonda.jpg
 
Leo ndio nimejua kuwa kumbe Mwenezi wa chama ni zaidi ya RC!. Ila Sofia Mjema yuko vizuri maana ni mashallah!, mimi ningekuwa kiongozi, kusema la ukweli ningeishia tuu kufukuzwa kazi kwa kosa la kuishiwa uvumilivu!, kuna vitu kiukweli yataka moyo kuvumilia...
P
Mwenyekiti angekuwa mwanaume ingesemwa mjema ni WA mwenyekiti
 
Hangaikeni weeeee, mwisho wa siku ni kwamba tunaomba tu mturudishie tanzania yetu. Mama samia, unapambana sana na una moyo wa huruma na wa pekee sana, lakini truthy to be told, hueleweki unatupeleka wapi! Hueleweki upo upande upi!!!? Wa kulisha genge la kikwete na wenzake? Au wa ccm au wa watanganyika!!!? Au wazanzibari!!? Au watanzania!!!?. Mama nchi imeyumba sana hasa katika nyanja ya uchumi. Na hilo ni sababu mama huna meno kabisa kwenye maswala ya uchumi wa taifa letu,,,,,!. Yani serious mkurugenzi wa TRA na waziri wa fedha mpaka leo wapo madarakani mama!!!? Serious??. Yani mpaka leo waziri wa kilimo bashe mpaka dk hii hujampa alert yoyote kwamba he is doing wrong!!, serious?? Mama huna meno, wewe ni kibogoyo.
Hakika kwenye uchumi ni sifuri yenye masikio
 
Hii tabia uliyoionesha ni umalaya.Eleza jambo kwa ufupi na utuo.Ukurasa mzima umeandika.Unamlipa msomaji?
KiLaza wewe Una akili ndogo na ni mchagga na ni Chadema! Kaa pembeni nyie ndo wale farasi aliowatukana Nyerere na mkampigia makofi! ( Chama kushika hatamu)
chama = Nyerere ,
hatamu = kamba za kuongozea farasi (polisi, jwtz, magereza)!

Farasi = raia wajinga kama wewe wasiosoma wasioelewa comments, wasiotaka ujamaa, mafisadi nk

Nafurahi Dawa imekuingia vizuri Sasa ukiniambia issue iliyokuchoma zaidi nitaenjoy!

Humo kwa my comment Kuna mada kumi za moto kwa akili yako ndogo na kisirani kama mbuzi hataki safari ya kwenda kuchinjwa sidhani umeelewa hata mada moja!
 
Back
Top Bottom