Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Naona chawa wa shaka ukisikitikaHii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!
Na kama ni hivyo....
CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.
Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.
Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
Naongelea katibu mwenezi kwa mfano tu.
Ingawa hata katibu mkuu ndio Router ya hoja za chama,napo pia oamepwaya!
Kwa siasa zetu mgombea ndiye mwenye athari kwa watu,lini watu walikikubali chama kisa katibu mwenezi!?Naongelea katibu mwenezi kwa mfano tu.
Ingawa hata katibu mkuu ndio Router ya hoja za chama,napo pia oamepwaya!
Kama shaka ana siasa za kichawa, Sophia ndiye big chawa subiri utaonaShaka hana substance. Siasa zake zinaonesha za kichawa kabisa 😀😀😀akwende zake hajui kujenga hoja za kibabe kama polepole
Leo ndio nimejua kuwa kumbe Mwenezi wa chama ni zaidi ya RC!. Ila Sofia Mjema yuko vizuri maana ni mashallah!, mimi ningekuwa kiongozi, kusema la ukweli ningeishia tuu kufukuzwa kazi kwa kosa la kuishiwa uvumilivu!, kuna vitu kiukweli yataka moyo kuvumilia...Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Labda katibu kata wa huko kwenu Pawaga.RC Mbeya
ShinyangaComrede Homera anaenda wapi? Atapigwa chini au?
Yaani umtoe RC mzoefu kama Homera umpeleke Shinyanga then mtu mpya wa kazi za RC kama Shaka ndio awe RC Mbeya? Matusi Kwa Wana Mbeya hayo..Shinyanga
kwa kweli kwa bi sophy,wa upanga mwenzio, mungu kambarikiLeo ndio nimejua kuwa kumbe Mwenezi wa chama ni zaidi ya RC!. Ila Sofia Mjema yuko vizuri maana ni mashallah!, mimi ningekuwa kiongozi, kusema la ukweli ningeishia tuu kufukuzwa kazi kwa kosa la kuishiwa uvumilivu!, kuna vitu kiukweli yataka moyo kuvumilia...
P
Shaka Hamdu Shaka ni "mpwa" wa Samia. Baada ya watu kupiga kelele za nepotism hasa hapa JF, chama kimeamua kumuondoa.Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
---
Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,
====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Mwenyekiti angekuwa mwanaume ingesemwa mjema ni WA mwenyekitiLeo ndio nimejua kuwa kumbe Mwenezi wa chama ni zaidi ya RC!. Ila Sofia Mjema yuko vizuri maana ni mashallah!, mimi ningekuwa kiongozi, kusema la ukweli ningeishia tuu kufukuzwa kazi kwa kosa la kuishiwa uvumilivu!, kuna vitu kiukweli yataka moyo kuvumilia...
P
Shaka alishika madaraka/kuonekana kipindi Cha rais/mwenyekiti yupi!?Shaka Hamdu Shaka ni "mpwa" wa Samia. Baada ya watu kupiga kelele za nepotism hasa hapa JF, chama kimeamua kumuondoa.
SinaloJibu unalo.
Kuna vitu naomba tusiseme!, maana vitu vingine hata ungekuwa wewe!..Mwenyekiti angekuwa mwanaume ingesemwa mjema ni WA mwenyekiti
Hakika kwenye uchumi ni sifuri yenye masikioHangaikeni weeeee, mwisho wa siku ni kwamba tunaomba tu mturudishie tanzania yetu. Mama samia, unapambana sana na una moyo wa huruma na wa pekee sana, lakini truthy to be told, hueleweki unatupeleka wapi! Hueleweki upo upande upi!!!? Wa kulisha genge la kikwete na wenzake? Au wa ccm au wa watanganyika!!!? Au wazanzibari!!? Au watanzania!!!?. Mama nchi imeyumba sana hasa katika nyanja ya uchumi. Na hilo ni sababu mama huna meno kabisa kwenye maswala ya uchumi wa taifa letu,,,,,!. Yani serious mkurugenzi wa TRA na waziri wa fedha mpaka leo wapo madarakani mama!!!? Serious??. Yani mpaka leo waziri wa kilimo bashe mpaka dk hii hujampa alert yoyote kwamba he is doing wrong!!, serious?? Mama huna meno, wewe ni kibogoyo.
KiLaza wewe Una akili ndogo na ni mchagga na ni Chadema! Kaa pembeni nyie ndo wale farasi aliowatukana Nyerere na mkampigia makofi! ( Chama kushika hatamu)Hii tabia uliyoionesha ni umalaya.Eleza jambo kwa ufupi na utuo.Ukurasa mzima umeandika.Unamlipa msomaji?
Ni Kweli au umeamua kumchafua tuHuyu dada watu Wana video zake nyingi za CONNECTION...... kuanzia kesho zitakuwa vinavujishwa moja baada ya nyingine