Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Ccm Huwa wanashangaza sana au pengine Kwa kuwa wanajua wataiba kura au?

Unawezaje kuwatoa watu wenye ushawishi na wanaojua kujenga hoja kama kina Shaka na Bulembo ukawela hao wengine wasiojua kujieleza?
Kama Shaka na Bulembo ndio wajenga hoja wako na wenye ushawishi,basi wewe ni empty kichwani.
 
Bado unaonesha tabia yako.Spana yenye matundu mengi.
 
Team ya ulaji.
 
Shaka alikua mwepesi speech zake zilikua za kichawa sana.hata uyo Sophia sidhani kama ataimudu hiyo nafasi ni kubwa.kipindi hiki cha fungulia mbwa kuna spana zitaachiwa atajuta kuteuliwa.
 
Jk kafaidi sana Toka Yuko DC Hadi akagombana na Mama WAMA
 
Nawatakia kila la kheri wateule wote kwenye majukumu yao ya ujenzi wa chama.

Ni matumaini ya Wana CCM na Watanzania wote kwamba Komredi Chongolo atashirikiana na wajumbe wenzake wa sekretarieti ya chama taifa kukisemea chama na kuisimamia serikali katika kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi...!!!

Mungu Ibariki TANZANIA...!!!

Kazi Iendelee
 
Vyeo viwili viwili ilihali kuna vijana wengi mtaani wenye sifa, wanaambiwa wajiajiri!! Watafute ukwasi!
I see!
Kwa uteuzi huo, maana yake nafasi zao tayari zinakuwa wazi.

Mheshimiwa Rais ataziba kwa kufanya teuzi za RC Shinyanga na DC Kahama ili kuziba nafasi za wateule hao wanaoenda kuanza majukumu yao kwenye chama.
 
Ccm ya Sasa inakufa KWa kasi ya ajabu , nafasi ya Shaka inaiyaji mtu yule mkuu wa mkoa wa Mara ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…