Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Acha kujitoa ufahamu wewe!! In short pamoja na majungu yako; CCM wanakupuuza kwa sababu inaonekana wameshakufahamu kwamba wewe ni mtu wa majungu, fitina na ushakubimbi!!!

Ambao umewapiga majungu hapa JF ni:
  • Emmanuel Nchimbi
  • Benard Membe
  • William Lukuvi
  • Rajabu Luhwavi
  • Ali Hapi
  • Nape Nnauye!!!
Usijitoe akili; hao ndio uliokuwa unawatilia fitina!!

Na kwa mujibu wa hiyo, waliofukuzwa ni:

1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga

Hakuna hata mmoja miongoni mwa wale uliopigia fitina!!! Na wote hao ni wale ambao walikuwa na tuhuma za kumsaidia Lowassa wakati wa uchaguzi mkuu...!!!

Kwahiyo usijifanye eti wako wapi waliokuwa wamtetea Nchimbi!! Sana sana ninachokiona hapo Magufuli amemwogopa Nchimbi kwa sababu Nchimbi pamoja na wote hao including Kimbisa, walikuwa kambi ya Lowassa lakini wameshindwa kumtimua!! Hata huyo Nchimbi atakuwa ameonywa kwa sababu hiyo hiyo ya Lowassa na si kutokana na fitina zako!!

In short; HAKUNA ANAYEKUTILIA MAANANI!!!
 
Unachangia mambo kama mtoto mdogo
 
~~>>Uamuzi uliofanyika leo ni wa ngazi ya mwisho....... Hivyo kina Sophia hawana pahala pa kwenda kukata rufaa..



Nawashauri waungane na Wema... Chadema hawana hiyana na mtu
 
Hivi dust bin ya ccm (cdm) haijatangaza kuwasafisha?
 
Mabadiliko ya ccm yanakuumiza?
Hakuna kinachobadilika, ni kiini macho tu. CCM imeshafikia maturity level katika siasa za nchi, it started with "party-state" (1961-64), ikashindwa, ikahamia kwenye "developmental state" (1965-1984), ikashindwa, ikahamia kwenye "contracting state" (1985-2015), ikashindwa, sasa chini ya Populist Magufuli inarudi back to "party state" era, na mbaya zaidi without any practical ideology. CCM kwa sasa ni genge tu waiting for the populist personality to do anything that helps the party make to the next day.

Hakuna kitu hapo.

Kama huyaelewi niliyojadili, Nina uzi nauandaa wenye lengo la kuelimisha wana JF jinsi gani CCM is running out tricks, and how Magufuli has defined its down fall.

Nitakukaribisha.
 
Kuwa na mawazo tofauti sio kosa ila kukihujumu chama ni kosa.
Wewe uko CCM mchana usiku uko Chama kingine huko sio kutofautina mawazo hiyo ni Hujuma kwa Chama.
Hivyo vitendo kama ni kweli, maana ukweli wanaujua wanaochukua maamuzi, hata kama ingekuwa wapi duniani mtu wa namna hiyo hafai. naunga mkono mkuu...
Juhudi zozote njema zikibainika kuwa ni njema na kwa manufaa chanya ya chama lazima zipongezwe,
 
mmmmmhh hali mbaya kwa kila mtu aisee... Hata JK huko aliko atakuwa analalama tu maana deals zake nyingi zimepigwa kapuni.

Mambo mtaani hayaendi tunaambiwa hatufanyi kazi ndio maana ngawira mfukoni hazikai, ila Daaaah after 10 years jamaa atatuacha na miundombinu mizuri kabisa kila wilaya ya nchi hii itakuwa imeunganishwa kwa rami na mambo mengine makubwa yaweza kufanyika ila sasa mpaka tufike huko hakuna rangi tutaacha kuona..
 

CCM ukweli huo hawautaki kuusikia
 
Chuki binafsi siyo demokrasia. Bashe mpiga kazi na msema kweli na hajapewa post yeyote.
 
Naona sasa hivi watu wataogopa hadi kuongea na Lowasa ukionekana na Lowasa umetengenezewa zegwe unafukuzwa,oohhh mama Sofia pole hiyo ndo shukurani ya mwenyekiti wako mpya,mama ulipigana ndani ya jumuiya ili ashinda lkn sasa huna samani mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…