Acha kujitoa ufahamu wewe!! In short pamoja na majungu yako; CCM wanakupuuza kwa sababu inaonekana wameshakufahamu kwamba wewe ni mtu wa majungu, fitina na ushakubimbi!!!Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Ambao umewapiga majungu hapa JF ni:
- Emmanuel Nchimbi
- Benard Membe
- William Lukuvi
- Rajabu Luhwavi
- Ali Hapi
- Nape Nnauye!!!
Na kwa mujibu wa hiyo, waliofukuzwa ni:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga
Hakuna hata mmoja miongoni mwa wale uliopigia fitina!!! Na wote hao ni wale ambao walikuwa na tuhuma za kumsaidia Lowassa wakati wa uchaguzi mkuu...!!!
Kwahiyo usijifanye eti wako wapi waliokuwa wamtetea Nchimbi!! Sana sana ninachokiona hapo Magufuli amemwogopa Nchimbi kwa sababu Nchimbi pamoja na wote hao including Kimbisa, walikuwa kambi ya Lowassa lakini wameshindwa kumtimua!! Hata huyo Nchimbi atakuwa ameonywa kwa sababu hiyo hiyo ya Lowassa na si kutokana na fitina zako!!
In short; HAKUNA ANAYEKUTILIA MAANANI!!!