Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Siasa ni matukio na kusahihisha, mawazo ya kimakonda zaidi. Sasa hakuna kuwana mawazo mbadala ccm uoga, kuwa na watu wenye mawazo mbadala wanatakiwa kuwepo
 

Nashukuru naanza sasa kupata Warithi wangu a.k.a Team Gentamycine kwa kuigwa kila kitu changu. Safi sana!
 
Kama waliomsupport Lowassa wanafanyiwa udhalimu ya namna hii.Sipati picha ya chuki ya Sizonje kwa Lowassa.
 
Wacha wapalulane sio tunatega ndoano tu, mtu asiporidhika na mgombea kawa msaliti [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyie ndio mnawafanya hawa vilaza wajione ma Don humu, sasa kuna haja gani ya kumuanzishia uzi huyo mbulula.
 

Uungwana ni vitendo....nimerudisha makombora yangu kapuni.
Pia hiyo imekufunza kuwa siyo kila unachokiona mtandaoni ni sahihi, fanyia tafiti kwanza. Pamoja tuendelee kutirirsha utirio wa GT hapa jukwaani.
 
Wakienda Chadema ni mtaji tosha. Kama walimpoke wema basi hawa ni watakatifu ndani ya chadema
 
Hahahahahahaaaaaaa! Subirini soon mtaona wananyakua mzoga
Mizoga ni ile iliyobaki CCM.Yaani mwendo wa sasa hivi ni Kama sheikh na maiti Sizonje atawageuza anavyotaka
 
Wataenda chama cha wahalifu na mateja.
 
Hakuna tofauti kwenye demokrasia ndani ya vyama vya siasa Tanzania,wote wanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…