Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

-kwa nini usijiulize swali rahisi kuwa kwa nini CDM wanashadidia vyeti vya Makonda ni kwa sababu walijiuliza Juu ya uwezo wa Makonda kutokana na alivyo handle swala zima la madawa ya kulevya.Kwa maamzi ya Kijinga wauzaji halisi wa madawa hayo wamisha kimbia,kwa maamuzi ya kijinga kudhalilisha watu.Kiongozi kama huyo ukimuacha unategemea kesho atafanya nini???
 
Waende chadema watakuwa rubi
 
Hapo kwenye red mkae mkijua hicho kilichonenwa siku moja kitakuja kuisambaratisha hii nchi... Amini nakwambia hao ambao mmewabagua iko siko watakuja kudai wawe na nchi yao wenyewe..
 
Hapa ndio unafiki wa msajili unakapoonekana,kweli mnafiki hajifichi,tuone anayoyafanya kwa cuf,atayafanya kwa ccm,kama Sophia akienda kulalamika kwake.
 
Madabida akithubutu kwenda CDM ajue kesi ya ARV's feki itapamba moto,TRA watamwangukia kama mwewe,na atanyang'anywa kiwanda cha madawa Arusha
Namshauri aachane na siasa za nchi hii kama rostm azizi
 
Wataenda kile chama mfu chenye fuvu tu cha wale mafisadi, wauza unga, wezi, waongo cha chadema
 
Unategemea nini kitakachotokea kama umempa dreva wa tren aendeshe ndege tena boing 777
 
labda kama ushindi wa 2020 hamtegemei wapiga kura!
Kila chama kinahitaji watu ili kiweze kushinda, na mtu yeyote anayekuwa upande wao hujitahidi wasimkose na hulazimisha walio side B waje kwao, leo nyinyi mnachekelea kabisa kupunguza watu!
kati ya wajumbe Zaidi ya 200 mliowapunguza halmashauri kuu 100 watawakimbia kabla ya 2018, na wao watazoa wapambe wao kibao, tusubiri tuone!
 
Dhambi ya usaliti ni kutosha tu. Heri kuwa na wanachama waaminifu 10, kuliko wanachama wasaliti 100.
Hivi huko ccm wanachama wote mmelingana akili/mawazo? Ni dhambi kutofautiana mawazo eeh
 
sasa hivi CHADEMA wanasimamia ajenda gani? kesho utasikia watatoa matamko kuhusu maamuzi ya kikao cha CCM....kiufupi CHADEMA wanacheza ngoma ya CCM
 
Sophia simba ana namba yake wala hana presha.
Ukitoka yanga hamia simba
 
Hahahahahahahaha, leo nimecheka kama kichaaaa.
Bruv rangi tutaziona kibao tu, na huu ni mwanzo kabisa.
Bruv mi nimeshaanza kuona na rangi ambazo hazionekani na binadamu wa kawaida..

But for god's sake jamaa kwenye maendeleo na kusimamia rasilimali za taifa nampa A+ ila kwenye democracy na ujuaji mwingi nampa BIG ZERO.. He can't be Economist, Lawyer, Accountant, Pay Master General, IGP at the same time. Apokee ushauri kidogo anaopewa. Ni kweli tunajua ana nia nzuri lakini huku mtaani aisee twafaaaaa...
 
hata kama hao wajumbe ni wasaliti waachwe tu eti wasipunguze kura? wacha waondoke watakuja wengine wazalendo
 
hata kama hao wajumbe ni wasaliti waachwe tu eti wasipunguze kura? wacha waondoke watakuja wengine wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…