Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

chama kina Zaidi ya miaka 20 unasema muda bado Hata ingekuwa Miaka 100 kama hakipo kwenye mpango ni hakipo,nimekuambia nitajie hizo Tv stations na radio zilizo chini ya CCM huajtaja??....CHADEMA hawana dira wala uelekeo wanasubiri matukio ndio wayadandie Hamna kitu kinaanzishwa kinakuwa hakina Dira hata wewe umeingia humu JF kuna kitu kinachokusukuma uwepo humu hivyo hivyo kwa chama,tafuta katiba ya chama utajua dira yake kiusumi na kijamii,kuhusu kudandia matukio inakupasa ujiulize ni kwa nini Jibu ni rahisi ni kwa sabubu matukio hayo yanakuwa siyo ligical hivyo wanachofanya CDM ni kuonesha umma ubovu wa matukio hayo....madawa ya kulevya wameshayadandia mara vyeti vya makonda ndio ajenda yao kuu sasa hizi CHADEMA ni chama hopeless kabisa
-kwa nini usijiulize swali rahisi kuwa kwa nini CDM wanashadidia vyeti vya Makonda ni kwa sababu walijiuliza Juu ya uwezo wa Makonda kutokana na alivyo handle swala zima la madawa ya kulevya.Kwa maamzi ya Kijinga wauzaji halisi wa madawa hayo wamisha kimbia,kwa maamuzi ya kijinga kudhalilisha watu.Kiongozi kama huyo ukimuacha unategemea kesho atafanya nini???
 
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.

Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Waende chadema watakuwa rubi
 
Vipi Sendeka...?! Hao walimpigania sana jamaa mpaka wakapigwa chini ubunge...

Unajua kila mtu anakuja na watu wake anaoamini atafanya nao kazi na zitaenda vizuri, ndio maana hata Kimei yupo na watu wake na mambo yanaenda shwari tu...

Kipindi kile huku hadi wale ccm wenzake wote waliungana aisee ilimgaragaza mbaya sana...

Hivi ni kweli ilisha nenwa rais hawezi toka kanda chukiwa...?! Au ni uzushi tu...?! Na kwanini inenwe hivyo...?! 2025 labda itarudi kusini ama pwani kama kawaida...

Kanda Pendwa wametoka marais wawili tayari, Pwani Wawili tayari, Kusini Mmoja...
Hapo kwenye red mkae mkijua hicho kilichonenwa siku moja kitakuja kuisambaratisha hii nchi... Amini nakwambia hao ambao mmewabagua iko siko watakuja kudai wawe na nchi yao wenyewe..
 
Ikiwa chama kimeamua kukufukuza na unataka kuendelea kuwa na ndani ya chama huku ukishikilia nafasi yako\zako, mfate msajiri wa vyama ili akurudishe kwenye chama na undelee kushika nafasi zako kama alivofanya kwa Lipumba.

Sofia Simba usipaniki, fata huo utaratibu, ni rahisi sana.
Hapa ndio unafiki wa msajili unakapoonekana,kweli mnafiki hajifichi,tuone anayoyafanya kwa cuf,atayafanya kwa ccm,kama Sophia akienda kulalamika kwake.
 
Madabida akithubutu kwenda CDM ajue kesi ya ARV's feki itapamba moto,TRA watamwangukia kama mwewe,na atanyang'anywa kiwanda cha madawa Arusha
Namshauri aachane na siasa za nchi hii kama rostm azizi
 
Wataenda kile chama mfu chenye fuvu tu cha wale mafisadi, wauza unga, wezi, waongo cha chadema
 
Unategemea nini kitakachotokea kama umempa dreva wa tren aendeshe ndege tena boing 777
 
Mabadiliko ndani ya CCM ni lazima yatokee khasa baada ya miaka 40 tangu kuundwa kwake.

Nafasi katika halmashauri kuu zimepunguzwa kutoka 388 hadi 158, wakati nafasi katika kamati kuu zimepunguzwa kutoka 34 hadi 24.

Mabadiliko kama haya au kwa kiingereza "reforms " ni muhimu, khasa ukiwa na kiongozi anaejali kupunguza matumizi na kuleta nidhamu na uwajibikaji hata katika chama chake.

Pia mabadiliko kama haya kutakiwezesha chama cha CCM kutekeleza shughuli zake kwa ufanisi zaidi na kuondokana na wanachama wasohitajika lakini wanaolipwa fedha za mishahara bure.

Ila kumvua uanachama Sophia Simba ni uamuzi sahihi na balozi Nchimbi kukaa nje akiwa balozi ni adhabu tosha.

Kwa umri alokuwa nao mama Sophia Simba alipaswa kuchunga kauli zake na ile kauli yake aloitoa kwenye harakati za kuchuja wagombea uraisi mwaka 2015 ya kwamba, yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama Edward Lowasa akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua Edward Lowasa ni wajinga na wapumbavu.

Hii ni sawa na mtu kutapika kabisa halafu baadae anakuja kula matapishi yake mwenyewe.
labda kama ushindi wa 2020 hamtegemei wapiga kura!
Kila chama kinahitaji watu ili kiweze kushinda, na mtu yeyote anayekuwa upande wao hujitahidi wasimkose na hulazimisha walio side B waje kwao, leo nyinyi mnachekelea kabisa kupunguza watu!
kati ya wajumbe Zaidi ya 200 mliowapunguza halmashauri kuu 100 watawakimbia kabla ya 2018, na wao watazoa wapambe wao kibao, tusubiri tuone!
 
Dhambi ya usaliti ni kutosha tu. Heri kuwa na wanachama waaminifu 10, kuliko wanachama wasaliti 100.
Hivi huko ccm wanachama wote mmelingana akili/mawazo? Ni dhambi kutofautiana mawazo eeh
 
-kwa nini usijiulize swali rahisi kuwa kwa nini CDM wanashadidia vyeti vya Makonda ni kwa sababu walijiuliza Juu ya uwezo wa Makonda kutokana na alivyo handle swala zima la madawa ya kulevya.Kwa maamzi ya Kijinga wauzaji halisi wa madawa hayo wamisha kimbia,kwa maamuzi ya kijinga kudhalilisha watu.Kiongozi kama huyo ukimuacha unategemea kesho atafanya nini???
sasa hivi CHADEMA wanasimamia ajenda gani? kesho utasikia watatoa matamko kuhusu maamuzi ya kikao cha CCM....kiufupi CHADEMA wanacheza ngoma ya CCM
 
Sophia simba ana namba yake wala hana presha.
Ukitoka yanga hamia simba
 
Hahahahahahahaha, leo nimecheka kama kichaaaa.
Bruv rangi tutaziona kibao tu, na huu ni mwanzo kabisa.
Bruv mi nimeshaanza kuona na rangi ambazo hazionekani na binadamu wa kawaida..

But for god's sake jamaa kwenye maendeleo na kusimamia rasilimali za taifa nampa A+ ila kwenye democracy na ujuaji mwingi nampa BIG ZERO.. He can't be Economist, Lawyer, Accountant, Pay Master General, IGP at the same time. Apokee ushauri kidogo anaopewa. Ni kweli tunajua ana nia nzuri lakini huku mtaani aisee twafaaaaa...
 
labda kama ushindi wa 2020 hamtegemei wapiga kura!
Kila chama kinahitaji watu ili kiweze kushinda, na mtu yeyote anayekuwa upande wao hujitahidi wasimkose na hulazimisha walio side B waje kwao, leo nyinyi mnachekelea kabisa kupunguza watu!
kati ya wajumbe Zaidi ya 200 mliowapunguza halmashauri kuu 100 watawakimbia kabla ya 2018, na wao watazoa wapambe wao kibao, tusubiri tuone!
hata kama hao wajumbe ni wasaliti waachwe tu eti wasipunguze kura? wacha waondoke watakuja wengine wazalendo
 
Back
Top Bottom