Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

mzee visasi ameanza yake...mpaka 2020 atakuwa amebaki yeye mwenyewe kwenye chama. ukiona mtu hataki kukosolewa au mawazo mbadala ujue kuna udhaifu fulani anajaribu kuuficha.
 
Reactions: BAK
teh teh teh teh ila nyie aliwakomesha sana.. Pesa za majanga tutoe sie matumizi apange yeye..

Ametukomeshaaa, ametukomeshaaa sana.
Hahahahaha jehuri yote ya nshomile kwishaaaa.
Sijui pesa zile kapeleka wapi aiseee.
 
Upinzani upo dhaifu kivip ndugu yangu
 
Hivi nyie chadema si ndio mliomfukuza Zitto kwa tuhuma za kuwa 'msaliti?'

Kwa nini inawauma wenzenu wanapowafukuza watu kwa tuhuma ile ile ya 'usaliti?'

Kama wanaona wameonewa wataenda mahakamani kama alivyofanya Zito na hukumu ikitoka aliyeahinda ameahinda.

Jengeni chama chenu kwa kuitisha uchaguzi wa mwenyekiti maana naona amekuwa dikteta mwenyekiti wa kudumu yupo tu miaka nenda rudi.
 
Chadema andaeni press conference kuwapokea wote waliogukuzwa. Msisahau DW
 
Chadema andaeni press conference kuwapokea wote waliogukuzwa. Msisahau DW
 
umenena vyema.
 
Lipumba alipoleta vurugu kwenye kikao cha mkutano mkuu alifukuzwa na kuvuliwa uanachama
 
Mkuu kwa akili ya kawaida mtu aliyejiuzulu mwenyewe kwa matakwa yake na ambaye amefukuzwa ni nani mwenye haki angalau kidogo
Kujibu swali ni kwamba aliyefukuzwa ana haki!..swali langu Msajili amsaidiaje SS wakati kwa ZZK mlishabikia aondoke tuu alipotimuliwa!..
Yaliyomtokea Sophia Simba reference yake ni Zitto Kabwe maana na yeye kesi yake usaliti ilikua!...
 
Ni vizuri.Tunataka CCM mpya yenye nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi.CCM ambayo uwezo wa mtu kiuongozi ndicho kitakachokuwa kigezo kikubwa, sio fedha. Mageuzi CCM ni lazima,vinginevyo wananchi hawatatuelewa.
 
Wakajiunge chadema ya mbowe, anappkeaga makapi kwani huko isaliti ni sifa.
 
mzee visasi ameanza yake...mpaka 2020 atakuwa amebaki yeye mwenyewe kwenye chama. ukiona mtu hataki kukosolewa au mawazo mbadala ujue kuna udhaifu fulani anajaribu kuuficha.
Ebu mkosoe muuza ngada, kama hujaitwa msaliti na kufukuzwa kwenye chama
 
Lipumba alipoleta vurugu kwenye kikao cha mkutano mkuu alifukuzwa na kuvuliwa uanachama
CUF wamegawanyika kwenye kesi ya Lipumba kuna wanaomkubali na wanaomkataa, je Zito kuna aliejitokeza pinga maamuzi yalipotolewa?
Narudia kesi ya Sophia Simba sio sawa na ya Lipumba ipo sawa na ya Zito Kabwe!..Msajili hana maamuzi labda mahakama waende!..
 
Hii weka mbali na ccm. special menu for opposition side only
 
Kujibu swali ni kwamba aliyefukuzwa ana haki!..swali langu Msajili amsaidiaje SS wakati kwa ZZK mlishabikia aondoke tuu alipotimuliwa!..
Yaliyomtokea Sophia Simba reference yake ni Zitto Kabwe maana na yeye kesi yake usaliti ilikua!...
Ninachojua mimi ukisha fukuzwa na chama ama kujiuzulu katika chama hamna mwenye mamlaka tena ya kukurudisha tofauti na chama
 
Ebu mkosoe muuza ngada, kama hujaitwa msaliti na kufukuzwa kwenye chama
mimi itabidi tu nikae kimya...kama wanachama wenzangu wanafukuzwa ovyo hivi mimi nitaponea wapi? tatizo mwenyekiti wetu hashauriki na wala hapingiki. kuwafukuza wanachama wenye nguvu kama sofia simba kutakipasua chama chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…