Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sawa we mwaga povu kumsifia na kumfagilia nkurunzinza utafikir upo UK ngoja hili jini mnalofuga liishiwe damu halafu iwe zamu yako kunyonywa ndo utaelewa maana wengine mnasubili popobawa ale msambwanda ndo utaelewa alichosema lissu kuwa white house imevamiwa na muumiani! Yaan wewe ndo boga kabisa unaona kabisa chama kinaliwa msembwende na popobawa we bado huamini sasa zamu yako haina muda mrefu
...hivi, kwani bila matusi huwezi kujenga hoja yako ndugu?
 
Hakika inashangaza sana katika Yale yanayoendelea Dodoma katika vikao vya ccm, Siamin kabisa kama mwenyekiti anaamua kutupeleka kwa namna hii ? kuna hatari kubwa sana inakuja mbeleni hii siyo kwa ccm tu ni kwa taifa zima. kwa nini ubadili katiba ikuluhusu kupita bila kupingwa? Leo wale wanaohoji au kupishana mtazamo mnawakamata? mlikuwa na nia gani kuitisha mkutano? mngekaa tu na kutuambia kuwa tumeamua hili na lile. unalazimisha watu wote wakuunge mkono. Dalili mbaya sana zinaanza kujitokeza katika taiga letu.
 
CCM inauawa na ambao wao wenyewe binafsi wala wazazi wao hawakushiriki kuijenga .
 
Hakika inashangaza sana katika Yale yanayoendelea Dodoma katika vikao vya ccm, Siamin kabisa kama mwenyekiti anaamua kutupeleka kwa namna hii ? kuna hatari kubwa sana inakuja mbeleni hii siyo kwa ccm tu ni kwa taifa zima. kwa nini ubadili katiba ikuluhusu kupita bila kupingwa? Leo wale wanaohoji au kupishana mtazamo mnawakamata? mlikuwa na nia gani kuitisha mkutano? mngekaa tu na kutuambia kuwa tumeamua hili na lile. unalazimisha watu wote wakuunge mkono. Dalili mbaya sana zinaanza kujitokeza katika taiga letu.
Nitamlaumu jk pekee iwa nafsi yangu
 
Wewe ni Ki.la.za! Majalibu! Ikuluhusu ndo nini?! Shule hizi za Kata ni janga la Taifa hili!
 
On their way to chadema, the damp of all kind of stuff. Sijui Halima atamwachia Sofia Simba uenyekiti wa uwt ya chadema?!
 
Mh!!! yaleyale mbona Chenge wamemuacha mbona .... Chenge ... wamemuacha? Mguseni muone ambavyo angewasamba chezea Chenge wewe angewavuruga vibaya ... ha ha ha ha ha haaaaaa
 
Wakuu kama mwezi nyuma nilipata kukaa na classmate wangu huyu jamaa yupo kwenye usalama wa taifa, lakini anatumika kisiasa sana(anatumiwa na ccm) kimaslahi. Alinidokeza kuwa kuna watu watatumbuliwa kwenye chama cha ccm na hao watakaotumbuliwa, watatumika kama majasusi wa kusambaratisha upinzani. Hao waliotumbuliwa watajiunga na Chadema,Nccr na Nld kusudio kuisambaratisha UKAWA. Kutokana na Cuf bwana yule anatumika hawakuona umuhimu wa kupandikiza mtu wao sababu bwana yule anatumika wamtakavyo mpaka sasa. Pia huyu rafiki yangu aliniambia ikifika 2018 ccm itawafukuza baadhi ya vijana wao watakaojifanya kwenda kinyume na chama, nao watakimbilia Chadema,Cuf,Nccr na Nld. Hao vijana watatumika kuleta nguvu lakini wengi wa watu watakao jifanya wanawaunga mkono nao pia wamepangwa kutoka ccm ili kuja kufanya hujuma kwa viongozi wa vyama vya upinzani.
Ushauri wangu kama vyama vya upinzani mtawapokea watu hao wafanyeni wanachama wa kawaida tu lakini mkiwapa nafasi za juu pole yenu.
 
Acha Uongo wewe.Tukio limetokea ndio unaunga sababu za kuanzisha thread. Ukiwa mzee utakuwa mchawi wewe
Mkuu binafsi kwanza sikutaka kumuamini huyu rafiki yangu mpaka yalipotokea ndio nimemuamini. Kuna baadhi ya mambo huwezi kuyasema kabla ya tukio
 
Back
Top Bottom