Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Mkuu binafsi kwanza sikutaka kumuamini huyu rafiki yangu mpaka yalipotokea ndio nimemuamini. Kuna baadhi ya mambo huwezi kuyasema kabla ya tukio
Naunga mkono hoja, hata Marando ni jasusi hatari Sana na ndo alitumika Kwa mlango wa nyuma kumtoa Dr Mihogo chadema.
 
umeongea point zote lakini hapo kwa wema sasa!!!wema alionekana malaya siku zote hilo lipo wazi scandal kibao si wakati alipokua ccm si sasa hivi wakati yupo chadema... ...
Na hilo swala la ccm kutokuwepo nadhani labda umfufue nyerere aje hapa na aseme kuanzia leo naifuta ccm labda ndo hiyo ndoto yako inaweza kutimia hapo 2020
 
Ccm inaweza kuendelea kuwepo kwa msaada wa vyombo vya dola. Lkn siku dola ikichoka ccm itaanguka asbh tu.
 
Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"
Umenena mkuu...........hata Zitto alitimuliwa bila kupewa nafasi ya kujieleza..........CCM nao hvyovyo

Siasa za siasa
 
Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"
Mkuu hii ni hatari sijui nchi hii inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!
 
MTAANDIKA KILA HERUFI NA SILABI, ILA SAFARI HII NI FOUR WHEELS NDIO ITABADILISHIWA HEWANI.
 
Mkuu hii ni hatari sijui inchi inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!

Cck ya Makonda na Sam Sitta
 
Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"

Mchakato wa sauti moja ulikuwaje? Kwa kupiga kura? Kura za wazi au za siri?
 
Mkuu hivi kweli msalitiwe kias hicho na bado mumpe huyo "msaliti " ubunge viti maalum??
Like seriously?
Vip ule msemo wenu wa " sasa yamepita, umoja ni ushindi"?
Anyways, the ussue at hand still hot,and never will it be fixed......
Dhambi ya chuki, visasi na "ubaguzi" itawamaliza.....
 
Mkuu hii ni hatari sijui nchi hii inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!

vyama vya siasa nchini vimegeuka kuwa vikundi vya kibabe vya kugombea madaraka
 
Hili sakata la wanachama wa CCM waliopewa adhabu mbalimbali na kufukuzwa mbona halielezi sababu? Je hao wanachama walipewa nafasi za kujieleza na kujitetea kwa tuhuma zao? Au wamefukuzwa na kuadhibiwa kwa kuwa na fikra tofauti ambazo hazikubaliki na mwenyekiti wao. Mpaka sasa inaonekana taarifa za kuadhibiwa tu bila kuelezwa walifanya nini mpaka uamuzi huo ukakafikiwa. Mimi nilifikiri CCM wana uwazi lakini kumbe sivyo hivyo hii kweli ni demokrasia nzuri.

Katiba yao inasemaje juu ya suala hilo?
 
Walijitakia CCM isingetoa mfano kwa matendo waliyofanya ndio ingekuwa jambo la kushangaza; hakuna chama cha siasa duniani kingeweza vumilia ukosefu wa nidhamu kiasi kile.
Itakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?
 
Mwisho wa vyama vikongwe ni pale vikianza timua timua hasa ya wabeba maono na wanakamati wakuu wa timu za ushindi..
 
Back
Top Bottom