TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ungeleta hiyo taarifa kabla ungeeleweka, lakini kwa sasa tunaona unatafuta Kiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi ni kazi pia hahahahaAcha Uongo wewe.Tukio limetokea ndio unaunga sababu za kuanzisha thread. Ukiwa mzee utakuwa mchawi wewe
Acha kulialia. Umeona ujio wao utawanyima fursa nyie novice, hiyo ndo hali halisi, Sofia atapata ujumbe wa kamati kuu ya chadema ilhali nyie akina wema sepetu mtabaki kutumika tu majukwaani na kwenye maandamao tu.Wakuu kama mwezi nyuma nilipata kukaa na classmate wangu huyu jamaa yupo kwenye usalama wa taifa, lakini anatumika kisiasa sana(anatumiwa na ccm) kimaslahi. Alinidokeza kuwa kuna watu watatumbuliwa kwenye chama cha ccm na hao watakaotumbuliwa, watatumika kama majasusi wa kusambaratisha upinzani. Hao waliotumbuliwa watajiunga na Chadema,Nccr na Nld kusudio kuisambaratisha UKAWA. Kutokana na Cuf bwana yule anatumika hawakuona umuhimu wa kupandikiza mtu wao sababu bwana yule anatumika wamtakavyo mpaka sasa. Pia huyu rafiki yangu aliniambia ikifika 2018 ccm itawafukuza baadhi ya vijana wao watakaojifanya kwenda kinyume na chama, nao watakimbilia Chadema,Cuf,Nccr na Nld. Hao vijana watatumika kuleta nguvu lakini wengi wa watu watakao jifanya wanawaunga mkono nao pia wamepangwa kutoka ccm ili kuja kufanya hujuma kwa viongozi wa vyama vya upinzani.
Ushauri wangu kama vyama vya upinzani mtawapokea watu hao wafanyeni wanachama wa kawaida tu lakini mkiwapa nafasi za juu pole yenu.
Hizo ndoto haing'oki na wala Haifa ng'olewa ng'oUnyama unyama ! CCM Kwisha habari !
Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"Hili sakata la wanachama wa CCM waliopewa adhabu mbalimbali na kufukuzwa mbona halielezi sababu? Je hao wanachama walipewa nafasi za kujieleza na kujitetea kwa tuhuma zao? Au wamefukuzwa na kuudhibiwa kwa kuwa na fikra tofauti ambazo hazikubaliki na mwenyekiti wao. Mpaka sasa inaonekana taarifa za kuadhibiwa tu bila kuelezwa walifanya nini mpaka uamuzi huo ukakafikiwa. Mimi nilifikiri CCM wana uwazi lakini kumbe sivyo hivyo hii kweli ni demokrasia nzuri.
hembu ishia zako wewe pascal mayalla alitamka wazi mapema kabla hata ya 2015 kuwa magufuli ndio atateuliwa na ccm na imekua sembuse wewe na hako kahabari kako ka ujasusi hamna kitu hapo,ngoja nikwambie hata lowassa alivokua anahamia chadema walisema hivyohivyo so hamna tofauti hapo hii sio habari tena rudi kalale uote vizuriMkuu binafsi kwanza sikutaka kumuamini huyu rafiki yangu mpaka yalipotokea ndio nimemuamini. Kuna baadhi ya mambo huwezi kuyasema kabla ya tukio
Mkuu hata wale wanaosema sema humu siyo kwamba hawajui machungu ya usaliti, wanayajua ila tu kumbuka imesemwa "adui wa adui yako ni rafiki yako"Wewe umenena vyema mkuu ijapo baadhi yetu humu tunajifanya kutetea huu uozo. Usaliti usikie tu kwa wengine, hakuna kitu kinaumiza kama kusalitiwa hata kama ni mwanao maamuzi magumu ni lazima yampate na hata kama ni urithi kuna sehemu itapunguzwa tu