Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Siipendi CCM na vibaraka wake, ila jitahidi kutulia, acha kuweweseka ili uandike vizuri.
 
Duuu aise wewe kiboko, kwahiyo twambie CCM walipokuwa wanaimba wanna imani na Lowassa walikuwa wamekubaliana kuimba wanaimani na Nani? Na kwanini walikwa na majina mengi kama walikuwa na makubariano?

Hakuna Mtoto hapa wa kumdanganya
 
Utafiti uliofanywa na nguli wa mambo ya kisiasa (jina linahifadhiwa), unaonesha Wabunge wafuatao wamekuwa mbele kwa ukorofi na kutoa Maneno yasiyokuwa na tija wala stahaha.
1. Mbowe kuandamanisha watu bila
sababu, kukataa kutii sheria kuriport
Polisi bila shurti. Mbowe kuvunja Katiba
kwa kufuta kipengele cha miaka mitano
mitano ya kuongoza chama kama
mwenyekiti.
2. Mbilinyi kutukana Watz kwa
kuwanyoshea kidole cha kati kupitia Tv
ya TBC Bingeni !!!
3.Msigwa kusema kuwa "atakayemuunga
mkono Edward Lowasa akapimwe akili."
Na yeye kuwa wakwanza kumuunga
mkono.
4. Tundu Lisu kumshambulia Baba wa
Taifa kuwa "Nyerere alizoea vya
kunyonga vya kuchinja haviwezi", Kudai
hakuna Hati ya Muungano.!!!!
5. Lema kudai eti ameoteshwa kuwa Rais
wa JMT atakufa.
Naomba majibu na SIYO matusi au kashfa, kwa wale ambao hawana hoja ni bora wakanyamaza, au kuomba ushauri kwa watu wengine.
Kusema Ukweli wewe uliyeleta post hii hazikutoshi. Kulikuwa na maana gani kuimba eti tunaimani na Low as a wakati tayari mteule alishapatikana? Wewe ni li chadema, mijitu iliyoshindwa vibaya kwenye uchaguzi, mijitu isiyokuwa na dola, lichama La wachagga.
 


Kosa lao sio kupinga tu bali kutaka kuanzisha mutiny ndani ya chama against their leaders na katika kipindi cha uchaguzi. Hayo ndio yaliyokuwa hadharani enough kuchukuliwa hatua za kinidhamu popote duniani, atujui mengine waliyoyafanya kujaribu kuhujumu uchaguzi ambao wenzao waliyabaini.

Tena afadhali ya CCM inawafukuza na kuwapa warning 'Xi Jinping' China's Xi Jinping unveils new 'four comprehensives' slogans - BBC News kawaseka rumande wote waliokuwa wanadhani wanauwezo wa kupindua maamuzi ya chama wakati wa uchaguzi wake na walikuwa very senior figures na wao wanautaratibu wa kutoa majina kama CCM.

Hakuna chama cha siasa duniani kitachekea wanachama wanaokosa nidhamu huo ndio uhalisia kwa ili wala msimsingizie Magu na ayawezi kuwa maamuzi ya peke ndani ya chama.
 
Duuu aise wewe kiboko, kwahiyo twambie CCM walipokuwa wanaimba wanna imani na Lowassa walikuwa wamekubaliana kuimba wanaimani na Nani? Na kwanini walikwa na majina mengi kama walikuwa na makubariano?

Hakuna Mtoto hapa wa kumdanganya
Mihemko classics, waliimba wakati wanapanga, bado Lowassa alikuwa sehemu ya mkakati. Baada ya wazo moja kupatikana, wasiokubaliana nalo walijitoa, waliosalia wakaamua kwa kauli moja kulisimamia. Halafu Lowassa alipojiunga na majeshi adui msituni baadhi wakaanza usaliti kwa kuvujisha siri.
 
Mkuu pamoja na kanda mnazosema, lakini aggrey mwanri ni mchapkazi hodari. naamini kwa uwezo wake yeyote angependa kufanya naye kazi
 
Mi naona sawa, nakumbuka wakati wa kampeni watu walihama CCM na wakasema kuna wenzeo wamewaacha huko CCM wafanye kazi za upinzani wakiwa ndani ya CCM ilihali walishajitowa CCM.
 
Chadema wako makini kuliko wakati wote.zitto akitaka kukiyumbisha chama lakini alidhibitiwa. CCM mbona wanajulikana kwa michezo michafu
 
Siipendi CCM na vibaraka wake, ila jitahidi kutulia, acha kuweweseka ili uandike vizuri.
Mimi mwenye NAICHUKIAAA Chaggadema na wanywa viroba wake wote na wala mbege, ikitajwa nataka kutapika kabisa. Hili tega uchumi la mtei na mkwewe firimoni gastura siku likifa nafanya sherehe
 
tumekula ARV feki miaka mingi hadi tumeota manyonyoo leo ndo wanamfukuza?
 
Hiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
CCM kitaendelea kuwa Chama cha Siasa za kimaendeleo

Vyama vingine vinaendesha siasa za maigizo ya:
1) kususia vikao vya bunge,
2) kuziba midomo,
3) kutoa matamko ya operesheni zisizo na matokeo chanya,
4) kuandamana,
5) kuwapigia deki barabara viongozi wao,
6) kuzungusha mikono ya mabadiliko,
7) kutwa kutoa matusi, kejeli, umbea, unafiki, na uchochezi,
8) kutumia ruzuku kuendesha kesi mahakamani, ambazo wanazitengeza wenyewe,
9) kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kupumua 'frustrations' zao,
10) kuendekeza hoja za watu (km vyeti) na matukio (km fulani kaongea nini leo), badala ya kero za jamii (matumizi ya viroba, madawa ya kulevya, maji, afya, umeme, nk) na masuala ya kimaendeleo.

Kujitambua njia sahihi ni kujitathmini na kuchukua hatua za mabadiliko. CCM kwa hilo inapaswa kupongezwa.

Viongozi wa vyama vya upinzani, kama ni wanasiasa kweli, siyo siasa za umaarufu na kuchumia tumbi, kitendo cha CCM kufanyia marekebisho ya Katiba yake, wanapaswa kujifunza na kuchukua hatua sahihi. Ila wafuasi wao, hasa wa mitandao ya kijamii, ikiwemo JF, watakebehi mabadiliko hayo.

Vyama vya siasa visipojitambua, hakika kutawala nchi hii itakuwa ndoto. Lakini kwa jinsi viobgozi hao walivyo na uchu wa umaarufu, hakuna kitakachofanyika!!!!
 
Unataka wanaofukuzwa CCM waende wapi kwenye demokrasia zaidi ya chadema?
Sipingi kuja chadema,ila napinga aina ya upokeaji,harafu tunawashangilia watu kama hao wanaokuja huku baada ya kukatwa.means bila kutimuliwa wasingekuja,kifupi wamekuja kufuata faraja
 
Mnashida gani Polisi wenu,mahakama yenu,serikali yenu,bunge lenu kwanini msiwe chama cha kimaendeleo hata kwa nguvu hata kama hatutaki?
 
mbona hata onyo hajapewa?
kama ana tatizo kweli?
Wakati M/kiti wa CHADEMA alipotakiwa kufika kituo cha polisi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya, hadi leo chama kimechukua hatua gani, japo kupata ukweli na kuchukua hatua stahili. Kilichotokea ni kuungana na M/kiti kutukana utawala wa nchi hii na kupokea mtuhumiwa wa madawa ya kulevya kwenye chama!

Uadilifu na uzalendo uko wapi?
 
Sipingi kuja chadema,ila napinga aina ya upokeaji,harafu tunawashangilia watu kama hao wanaokuja huku baada ya kukatwa.means bila kutimuliwa wasingekuja,kifupi wamekuja kufuata faraja
Mkuu labda ungetoa ushauri wako unataka waende wapi badala ya chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…