tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Chama cha wachawi hicho kosa la sofia alisema ccm hakuna mwanaume kma edo so wengine wote wapaka lipstickMama Salma kuchukua nafasi yake soon,CCM wana fitna sana.
Nchi inaongozwa kimabavu na chama pia.
Kwani ni kosa mwanachama kupinga maamuzi ya ndani ya chama?
Unyama unyamani.
Hizo ndizo hoja zenu, tumezizoea.Mnashida gani Polisi wenu,mahakama yenu,serikali yenu,bunge lenu kwanini msiwe chama cha kimaendeleo hata kwa nguvu hata kama hatutaki?
Kuna upendeleo fulani hivi.Kassim Majaliwa mbona hajaguswa na alitenda kama hayo mnayoyaita usaliti?
Inawezekana wazee walishaweka barua za misamaha mezani, sio lazima wote tujue.Kassim Majaliwa mbona hajaguswa na alitenda kama hayo mnayoyaita usaliti?
Hivi na Koromije bado yuko ktk system kweli?!Kuna upendeleo fulani hivi.
Ni Giant linalojibadilisha badilisha. Kweli wajenzi wa hiki chama walitulia sana kujenga Foundation..sio mchezo acha tuCcm ni chama level ya akina Republican kule marekani.
Nawashangaa hao watu, amesababisha kosa la mauti ya watu wengi kwa tamaa ya utajiri walimuacha tu, alipopeleka siri kwa jirani wakaamkatumekula ARV feki miaka mingi hadi tumeota manyonyoo leo ndo wanamfukuza?
Kwani kuna tabaka la wanachama kiasi wengine watajwe au wasitajwe?Inawezekana wazee walishaweka barua za misamaha mezani, sio lazima wote tujue.
Ndio maana Nchimbi amepewa wazi jiwe lake.
Sio wote walikuwa wameozo, sasa mbele kwa mbele, tunataka Tanzania mpyaTunashuhudia uthubutu wa hali ya juu unaofanywa na CCM, hii kwa mtazamo yakinifu unaweza kusema ndio kujivua gamba, kama nyoka afanyavyo ili kuonekana mpya na safi.
Kwa yanayoendelea kutokea hakika discipline itakuwa ya hali ya juu, watu wataheshimu katiba na miiko ya chama chao.
Ni kweli haiingii akilini mtu kusaliti chama chake kisibebe dola halafu abaki kuwa muaninifu bila kujutia na kuomba msamaha halafu kujirekebisha.
Nina imani yule aliyesamehewa aliomba msamaha na kuonyesha mwenendo mwema km alivyosema Katibu Mwenezi wa chama hicho. Hii inatafsiri kwamba waliobaki wote walionekana kuendeleza vigisu za chinichini, ambayo ni hatari sana.
Hongera ccm, mnaonekana kuwa bora kila wakati na kwa mwelekeo huu wa kuweza kujitathmini ktk kipindi fulan na kutoa maamuzi mazito, basi mnaweza kuwa chama bora wakati wote kama sio kwa Afrika mzima.
You are a Giant CCM! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Acha kujiaibisha weweCcm ni chama level ya akina Republican kule marekani.
Sidhani, ila ninavyoona hiki chama kina mfumo imara sana kuna waliosamehewa inawezekana kwa vigezo vya chama walionyesha kurekebishika.Kwani kuna tabaka la wanachama kiasi wengine watajwe au wasitajwe?
Jenista Mhagama alikuwa anapiga vigelegele kabisa, lakini naona amesamehewa.Kassim Majaliwa mbona hajaguswa na alitenda kama hayo mnayoyaita usaliti?
Huyu tunataka apande cheo hatoki kwenye system, hatutaki siasa tunaangalia kazi ya mtuHivi na Koromije bado yuko ktk system kweli?!
Kwa nini unakuwa mkali hivi kwa mtazamo wa mwenzio? Weka hoja ueleze tofauti ya Republican na CCM ni ipi.Acha kujiaibisha wewe
Nadhani kuna siku watu wataelewa tofauti iliyopo kati ya siasa za Tanzania na nchi nyingine. Nakumbuka kuna Diwani wangu eneo fulan alikuwa darasa la saba ila alifanyakazi kubwa mno kuliko hawa Professionals, kwanza wengi wao ni desk workers.Huyu tunataka apande cheo hatoki kwenye system, hatutaki siasa tunaangalia kazi ya mtu