Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Mama Salma kuchukua nafasi yake soon,CCM wana fitna sana.

Nchi inaongozwa kimabavu na chama pia.

Kwani ni kosa mwanachama kupinga maamuzi ya ndani ya chama?

Unyama unyamani.
Chama cha wachawi hicho kosa la sofia alisema ccm hakuna mwanaume kma edo so wengine wote wapaka lipstick
 
Tunashuhudia uthubutu wa hali ya juu unaofanywa na CCM, hii kwa mtazamo yakinifu unaweza kusema ndio kujivua gamba, kama nyoka afanyavyo ili kuonekana mpya na safi.
Kwa yanayoendelea kutokea hakika discipline itakuwa ya hali ya juu, watu wataheshimu katiba na miiko ya chama chao.
Ni kweli haiingii akilini mtu kusaliti chama chake kisibebe dola halafu abaki kuwa muaninifu bila kujutia na kuomba msamaha halafu kujirekebisha.
Nina imani yule aliyesamehewa aliomba msamaha na kuonyesha mwenendo mwema km alivyosema Katibu Mwenezi wa chama hicho. Hii inatafsiri kwamba waliobaki wote walionekana kuendeleza vigisu za chinichini, ambayo ni hatari sana.
Hongera ccm, mnaonekana kuwa bora kila wakati na kwa mwelekeo huu wa kuweza kujitathmini ktk kipindi fulan na kutoa maamuzi mazito, basi mnaweza kuwa chama bora wakati wote kama sio kwa Afrika mzima.
You are a Giant CCM! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mnashida gani Polisi wenu,mahakama yenu,serikali yenu,bunge lenu kwanini msiwe chama cha kimaendeleo hata kwa nguvu hata kama hatutaki?
Hizo ndizo hoja zenu, tumezizoea.

Kwa kuwa viongozi wenu wana mawazo kama yako, hamtakuja kutawala nchi hii, kwa sababu tuna imani kuwa vyombo hivyo vya Dola vitatumiwa vibaya, na kwa maslahi ya viongozi wenu, wenye uchu wa ukubwa. Ushahidi ni jinsi CHADEMA inavyoendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi.

CCM ni kama Yanga na Simba (vilabu vya wanachama), viongozi wamekuwa wanaondolewa madarakani, lakini vilabu bado vipo imara. Hivi karibuni mfadhili mkuu wa Yanga ametingishwa, kiasi kilabu imestuka kifedha, lakini badi kiko imara. Ila kama mfadhili wa Azam, atapata msukosuko, kama huo, itakufa.

Kwa mantiki hiyo nabashiri kuwa ikitokea M/kiti wa CHADEMA, kwa sakata lake lililopo polisi, likamtingisha, hakika chama kitaanguka vibaya.
 
tumekula ARV feki miaka mingi hadi tumeota manyonyoo leo ndo wanamfukuza?
Nawashangaa hao watu, amesababisha kosa la mauti ya watu wengi kwa tamaa ya utajiri walimuacha tu, alipopeleka siri kwa jirani wakaamka
 
Tunashuhudia uthubutu wa hali ya juu unaofanywa na CCM, hii kwa mtazamo yakinifu unaweza kusema ndio kujivua gamba, kama nyoka afanyavyo ili kuonekana mpya na safi.
Kwa yanayoendelea kutokea hakika discipline itakuwa ya hali ya juu, watu wataheshimu katiba na miiko ya chama chao.
Ni kweli haiingii akilini mtu kusaliti chama chake kisibebe dola halafu abaki kuwa muaninifu bila kujutia na kuomba msamaha halafu kujirekebisha.
Nina imani yule aliyesamehewa aliomba msamaha na kuonyesha mwenendo mwema km alivyosema Katibu Mwenezi wa chama hicho. Hii inatafsiri kwamba waliobaki wote walionekana kuendeleza vigisu za chinichini, ambayo ni hatari sana.
Hongera ccm, mnaonekana kuwa bora kila wakati na kwa mwelekeo huu wa kuweza kujitathmini ktk kipindi fulan na kutoa maamuzi mazito, basi mnaweza kuwa chama bora wakati wote kama sio kwa Afrika mzima.
You are a Giant CCM! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sio wote walikuwa wameozo, sasa mbele kwa mbele, tunataka Tanzania mpya
 
Huyu tunataka apande cheo hatoki kwenye system, hatutaki siasa tunaangalia kazi ya mtu
Nadhani kuna siku watu wataelewa tofauti iliyopo kati ya siasa za Tanzania na nchi nyingine. Nakumbuka kuna Diwani wangu eneo fulan alikuwa darasa la saba ila alifanyakazi kubwa mno kuliko hawa Professionals, kwanza wengi wao ni desk workers.
 
Back
Top Bottom