Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Chama kinaelekea kwenye umafia nyie mnapongeza, mwisho kitakuwa kama chama cha kina Putin kubadilishana uongozi watu wawili leo waziri mkuu kesho rais kesho kutwa anarudi kuwa waziri mkuu.
.............au kama chadema, unabadilisha Katiba ili uwe Mwenyekiti milele kisa na cha Babamkwe na anaye jaribu kugombea unampa kesi ya usaliti ....halafu wachaga wote wanaitikia ameeeen t
 
Madabida si alikuwa kwenye conference ya Daudi Bashite juzi juzi. Inaonyesha hakujua kama hili linakuja, alikula hela ya Lowassa nini?
 
Nasubiri kuona uamuzi wa msajili wa vyama vya siasa je atabariki kufukuzwa kwao au ataendelea kuwatambua kama anavyomtambua Ibrahim Lipumba na wengine waliofukuzwa vyama vya upinzani, double standard!!!
 
kama wewe "huna" chama mbona povu linakutoka hivyo? kwani hao wanachama waliofukuzwa ni wa CHADEMA? unaacha kujadili hoja iliyopo mezani unabwabwaja tu kama teja aliyeshiba unga au umbwa jike mwenye nye.ge? acha hizo ndugu yangu.
Sijui hizi ndio siasa za Kisasa... haya ngoja tuone! nadhani wazazi kuna mahali tumekosea, vijana hamjui lugha gani inatumika mahali gani, mkiadhibiwa na vyombo vya sheria mnailaumu serikali kwa utovu wenu wa nidhamu, liko tatizo. Sasa ukiwa mwanachama wa chama fulani lazima tutaamini hicho chama ndio tabia yake hiyo unayoionyesha hapa...
 

TUNAWASUBIRI NEC ENDAPO KAMA WATAUTAMBUA UAMUZI WA CCM KUMUENGUA UANACHAMA NA UBUNGE SOPHIA SIMBA????

TUME NDIO WALIOPINGA KUENGULIWA KWA PROF. LIPUMBA KWA KISIINGIZIO KUWA WAO WANAMTAMBUA KUWA NDIYE MWENYEKITI WA CUF. SASA WATASEMAJE KUHUSU HILI NALO????
 

Hoja kuu ilikua mabadiliko ndani ya ccm na impact yake kwa siasa za tz. Labda nikuulize swali, mlifanya mabadiliko kwa ajili ya cdm au ccm? Kama ni kwa ajili ya ccm hakukua na sababu yoyote ya kufanya comparision Mkuu! Ila kama ni kwa ajili ya cdm, ni sahihi kabisa. CCM inasimama yenyewe na ubora au ubovu wake hautegemei vya ma vingine, vivyo hivyo kwa vyama vingine!!

La msingi kama kuna mabadiliko yamefanyika, tunategemea yalete tija maana kuna mambo mengi ya kufanya hasa ujenzi Wa viwanda vilivyo kwenye mioyo ya viongozi, wanalala navyo na kuamka navyo! Ni wakati muafaka sasa kuvitoa nasi tuanze kuuza bidhaa nje.

Mwisho niseme haya mabadiliko ndani ya ccm ni hitimisho la "ndio mzee". Ni mtazamo wangu tu, sii lazima uukubali.
 
Kwani umeambiwa hiyo adhabu ina uhusiano na timu Fulani?!! Acha kiherehere

Wewe jina lako tu ni brand ya CONDOM ,hukuona majina mengine mfano RALPHRYDER ....anyaway usipende kuita wanaume wenzako wana KIHEREHERE sio vizuri ,kama umetahiriwa na kufundwa utakuwa umenielewa !!
 
Tatizo waliendeleza makundi hata baada ya mgombea wa mwisho kupatikana, kifupi walikuwa wasaliti.
Huyo Membe alisimama lini na watu wake kumpigia kampeni Magufuli ....??? magufuli kupata kwake urais ni kutokana na watu wa Lowassa kumpa kura ....na wakaendelea kumpigia kampeni ..kwanini wasingeanza upya ...
kama makosa walifanya wote kwa uwiano huo kwanini wengine wameachwa ...watu wa haki za wanawake wanauliza hilo ..KIMBISA,NCHIMBI NA SOPHIA walifanya kosa moja ....iweje Sophia tu ndio afukuzwe .
Kuna wagombea walimkandia rais kuwa hawezi hata kuwa Balozi baada ya kuteuliwa ..mbona wameachwa hata kuulizwa ??
 
Eti makombo! Vipi Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Machali, n.k, hao mnawaitaje huko CCM au mnaona makombo CDM tu?
 
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Mheshimiwa yesu hakuja duniani kuwakomboa watakatifu bali wenye dhambi vile vile upinzani haukuanzishwa ili kutetea wanyonyaji/maharamia/mazandiki... ila ulianzishwa kutetea wanyonge, wanaoonewa, wanaodhulumiwa haki yao na hawana pa kusemea.

hivi wewe kwakili utalazimisha mtu mzima asimpende mtu akupende wewe, haiji akilini.
 
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
duh kwahyo sofia simba ni uchafu??? mbona miaka yote akiwa serikalini hukusema mpaka leo hii katimuliwa????? kwakuwa katimuliwa kwa kusimamia mabadiliko sioni tatizo akichukuliwa upinzani
 
Sasa chadem mbona wakitimuaga watu kwa makosa ya usaliti kma kina shonza au mwampamba mlisema hakuna demokrasia?? na bado ccm mkawachukua ???? Mnataka upinzani ufanye nni hasa??? mnataka tumtimue nani wakati uchaguzi 2015 ulikuwa success kwa upinzani!! nyie mnajua mlianguka ndo maana mnatimuana bila ivo msingeendeleza chuki za team lowassa ad leo
 
Mkuu labda ungetoa ushauri wako unataka waende wapi badala ya chadema?
Naona nawasiliana na mtu asiyeelewa,hivi nimekwambia napinga wasije?.au kusoma hujui au una kichwa kigumu kuelewa? Mbona unakuwa mzito kuelewa namna hii? nimeshakwambia sipingi wao wasije CHADEMA,bali sipendi aina ya upokeaji,tunawashangilia sana,inabidi tuwapokee kama tu wanachama wengine na sio kushangilia ujio wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…