Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Ficha upumbavu wako wewe kibwenye!Mapenzi hayalazimishwi,mbona Waziri mkuu Majaliwa alikuwa ni miongoni mwa walioimba wimbo wa imani na Lowassa na hajachukuliwa hatua?Huo ni uonevu wa dhahiri kwa mama Sophia Simba.


Tangu linivulisikia kauli ya Mh. Majaliwa kumuunga mkono Lowasa??? Ulisikia akilalamika kuwa hakuridhika na maamuzi yaliyochukuliwa kumuengua Lowasa???

Hio video unamuona Mh. Majaliwavakiimba au amesimama kama ada iwapo Mwenyekiti anakuwa anaingia ukumbini??? Chadema acheni propaganda za kitoto....
 
Hahaha shilawadu shilawadu
 
Kwani mama simba anashutuma gani za kuhitaji kusafishwa mkuu?
 
Zidumu fikra potofu za Mwenyekiti wa chama! ZIDUMU! CCM oyee CCM oyee.
Ha ha ha! Sikujua kama ccm imekuwa mdebwedo namna hii! Yaani jamaa katoka bara hata kiswahili chenyewe bado hakija kaa sawa, kwenye chama hata balozi wa mtaa hajawahi lakini Leo anakuja na vitisho na amri wote wanaufyata! Kweli ccm mdebwedo!

Kama wanamwogopa sio wamshawishi Lema au Lissu ajiunge na ccm na wampe ukatibu mkuu kama hajaachia ngazi mwenyewe!
 
Hhahaah...wanamuonea mama bure...masikini msukuma kajitwalia ccm kilahisi....Hahaha wacha nicheke mie yaani watoto wa mjini akina January mwigulu...mtaibukia wapi tena chamani...
Naona kuwafukuza haitoshi wangewaua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…