Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Ukiweka sumu kwenye nyumba yako Basi watakufa baadhi lkn wengine watakimbilia kwa jirani
 
Unajihami?? Mwenyekiti wa UWT miaka mingi unamuita mzoga? Wewe Ndio mzigo namba moja

Chukueni muwapachike ukamanda! Toka lini mkaweza vya kuchinja nyie?! Nitajie mtu moja tu mliyemchukua kutoka ccm akiwa "fresh" nafikiri umenielewa!!!!
 
Hakuna kinachobadilika, ni kiini macho tu. CCM imeshafikia maturity level katika siasa za nchi, it started with "party-state" (1961-64), ikashindwa, ikahamia kwenye "developmental state" (1965-1984), ikashindwa, ikahamia kwenye "contracting state" (1985-2015), ikashindwa, sasa chini ya Populist Magufuli inarudi back to "party state" era, na mbaya zaidi without any practical ideology. CCM kwa sasa ni genge tu waiting for the populist personality to do anything that helps the party make to the next day.

Hakuna kitu hapo.

Kama huyaelewi niliyojadili, Nina uzi nauandaa wenye lengo la kuelimisha wana JF jinsi gani CCM is running out tricks, and how Magufuli has defined its down fall.

Nitakukaribisha.
Unaruhusiwa kuota maana ni haki yako ya kibiolojia na kifiziologia
 
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.

Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
 
Zzk na kina kitilya na wenzake walivyoanza vuguvugu LA usaliti na hatimae kutumbuliwa na cdm mlinyoosha midomo kuwa cdm hakuna demokrasia,sasa je unasemaje yaliyotokea CCM,demokrasia IPO?
 
Tatizo la vijana wa lumumba ni kwamba ukiwa mkweli basi wewe utachukiwa na kila mtu ukiwa sisiem unatakiwa kuwa muongo muongo acheni ujinga nyie fisiem

Tatizo la vijana wa upinzani, hasa CHADEMA, kama huna uwezo wa kusema hovyo hovyo upati uongozi la kunywa viroba upati stimu ya kuropoka.
 
Tatizo hasa ni Lowassa.
Kivuli cha Lowassa kinaisumbua sana CCM. Wote hao walifukuzwa, Kukaripiwa na Kuonywa ni makada wa CCM waliokuwa wakimuunga mkono Lowassa wakati huo Lowassa akiwa CCM, na kwa upande wa pili ni wanaCCM waadilifu sana kwa chama chao.

Okay, ngoja tusubiri kuona nini kitafuata, chama hakiwezi kuwa salama kama mwenyekiti anaendesha chama kwa visasi tena dhidi ya watu fulani walioonyesha Upande fulani wakati wa michakato ya ndani ya chama iliyofanyika zaidi ya mwaka mmoja na nusu uliopita na kusahaulika.

Ipo siku Magufuli atakuja kugundua kuwa wasaliti ni wengi sana kwenye chama, na wengi wao huwa hawajiweki wazi, na wakati huo atakuwa amechelewa sana.
 
Zzk na kina kitilya na wenzake walivyoanza vuguvugu LA usaliti na hatimae kutumbuliwa na cdm mlinyoosha midomo kuwa cdm hakuna demokrasia,sasa je unasemaje yaliyotokea CCM,demokrasia IPO?
Achana na lizaboni hana kitu kichwani....huyu nae ni bashite wa ubongo
 
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.

Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Madabida alitetewa sana na hao hao CCM kwenye unyama alioufanya wa kuuza ARV Feki
 
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.

Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.

Vyama vingi vyenye ushawishi ni vipi hivyo?
 
Kumbe ni marufuku kuwa na mawazo tofauti ndani ya ccm, uhuru wa mawazo kwao ni mwiko.
Wamevuliwa uanachama kwa kosa la usaliti sio sababu ya mawazo tofauti.

Hiyo ya kutoruhusu mawazo ya wengine ni mambo ya kawaida kabisa huko Chadema,kama unabisha muulize Zitto kabwe kilichomkuta.
 
Back
Top Bottom