Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Mabadiliko ya ccm yanaipagawisha chadema... Amka kweli ccm baba laoHapo hadi kichwa kinakuuma ila hauna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko ya ccm yanaipagawisha chadema... Amka kweli ccm baba laoHapo hadi kichwa kinakuuma ila hauna namna.
Unajihami?? Mwenyekiti wa UWT miaka mingi unamuita mzoga? Wewe Ndio mzigo namba moja
Unaruhusiwa kuota maana ni haki yako ya kibiolojia na kifiziologiaHakuna kinachobadilika, ni kiini macho tu. CCM imeshafikia maturity level katika siasa za nchi, it started with "party-state" (1961-64), ikashindwa, ikahamia kwenye "developmental state" (1965-1984), ikashindwa, ikahamia kwenye "contracting state" (1985-2015), ikashindwa, sasa chini ya Populist Magufuli inarudi back to "party state" era, na mbaya zaidi without any practical ideology. CCM kwa sasa ni genge tu waiting for the populist personality to do anything that helps the party make to the next day.
Hakuna kitu hapo.
Kama huyaelewi niliyojadili, Nina uzi nauandaa wenye lengo la kuelimisha wana JF jinsi gani CCM is running out tricks, and how Magufuli has defined its down fall.
Nitakukaribisha.
Alijirekebisha ndiyo maana yupoMzee wa vijisenti?
Tatizo la vijana wa lumumba ni kwamba ukiwa mkweli basi wewe utachukiwa na kila mtu ukiwa sisiem unatakiwa kuwa muongo muongo acheni ujinga nyie fisiem
Achana na lizaboni hana kitu kichwani....huyu nae ni bashite wa ubongoZzk na kina kitilya na wenzake walivyoanza vuguvugu LA usaliti na hatimae kutumbuliwa na cdm mlinyoosha midomo kuwa cdm hakuna demokrasia,sasa je unasemaje yaliyotokea CCM,demokrasia IPO?
Madabida alitetewa sana na hao hao CCM kwenye unyama alioufanya wa kuuza ARV FekiHusika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.
Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.
Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Wamevuliwa uanachama kwa kosa la usaliti sio sababu ya mawazo tofauti.Kumbe ni marufuku kuwa na mawazo tofauti ndani ya ccm, uhuru wa mawazo kwao ni mwiko.