certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
CCM mpYa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Hadi Magu atakapoenda kumpa Donald ushauri kuhusu hilo.Hivi wale republican waliompiga trump wanafukuzwa lini?
Ccm ya kusaopoti kila uchafu kutoka kwa mwenyekiti.CCM mpya yaja.!
basi hana makosa serious kama unayotaka kutuaminisha hapa, eti siku zake zinahesabika
Hao sidhani kama wataenda chadema labda wataanzisha chama chaoHata kwenye gari oil safi ikichafuka hutolewa so chadema ndo sehemu ya kuweka oil chafu ambayo haihitajiki tena
Mbona huko mmejaza vichaa tele na mnacheza ngoma zao?Hata kwenye gari oil safi ikichafuka hutolewa so chadema ndo sehemu ya kuweka oil chafu ambayo haihitajiki tena
noma sanaHiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
Kwa hiyo ina maana ndani ya chama si ruksa kuwa na fikra au utashi tofauti na walio wengi?wangepotezwa wote...ila kwani kum support Lowassa si ilikuwa imeshaisha? au walikuwa wana msupport chini kwa chini?
Hahahaaaa, watu wanakata roho wewe unawaongezea sumu ili wafweeeSasa wamemuacha Amani Karume mbona ? Huyu yeye na Mwanawe Fatma ni ma Cuf, na walimsaliti Sheni mpaka akashindwa uchaguzi ikabidi tufanye faulo .
Naye huyu hastahili kuwamo ...tumfukuze tu..
Badili hiyo ID yako tafadhali. Yesu Kristo ambaye ni Mwokozi wa ulimwengu alikuja kuokoa wale tuliopotea. Anatusisitiza tupendane,wewe una chuki na kisasi,hustahili kutumia hiyo ID. Mfano wewe kesho ukiolewa halafu ukaachika,kweli ni haki kwa mume aliyekuacha kukupangia nani wa kukuoa? Mwendelezo wa chuki na visasi utakupeleka pabaya wewe na the likes.Jamani tutashangaa kama waliotimuliwa ccm watakimbilia chadema na kupokelewa. Hapo tutaendlea kutambua kuwa chadema ni Chama cha kupokea mabaki.