Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mbona kapewa ubalozi?Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Bashe naye vipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kapewa ubalozi?Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Richard Ndio umerudi bongo mazima? Nilidhan bado hupo skendineviaMabadiliko ndani ya CCM ni lazima yatokee khasa baada ya miaka 40 tangu kuundwa kwake.
Nafasi katika halmashauri kuu zimepunguzwa kutoka 388 hadi 158, wakati nafasi katika kamati kuu zimepunguzwa kutoka 34 hadi 24.
Mabadiliko kama haya au kwa kiingereza "reforms " ni muhimu, khasa ukiwa na kiongozi anaejali kupunguza matumizi na kuleta nidhamu na uwajibikaji hata katika chama chake.
Pia mabadiliko kama haya kutakiwezesha chama cha CCM kutekeleza shughuli zake kwa ufanisi zaidi na kuondokana na wanachama wasohitajika lakini wanaolipwa fedha za mishahara bure.
Ila kumvua uanachama Sophia Simba ni uamuzi sahihi na balozi Nchimbi kukaa nje akiwa balozi ni adhabu tosha.
Kwa umri alokuwa nao mama Sophia Simba alipaswa kuchunga kauli zake na ile kauli yake aloitoa kwenye harakati za kuchuja wagombea uraisi mwaka 2015 ya kwamba, yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama Edward Lowasa akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua Edward Lowasa ni wajinga na wapumbavu.
Hii ni sawa na mtu kutapika kabisa halafu baadae anakuja kula matapishi yake mwenyewe.
Kumsapoti Lowasa ni kama kula nyama ya mtu ni dhambi Wakatoliki uhita Sakililigo !Hivi kumsapoti lowassa ni dhambi? waje upande wa pili wapambane.
Hiyo lema na lissu kwa mbowe hwana cha kuhoji ije kwa maguHa ha ha! Sikujua kama ccm imekuwa mdebwedo namna hii! Yaani jamaa katoka bara hata kiswahili chenyewe bado hakija kaa sawa, kwenye chama hata balozi wa mtaa hajawahi lakini Leo anakuja na vitisho na amri wote wanaufyata! Kweli ccm mdebwedo!
Kama wanamwogopa sio wamshawishi Lema au Lissu ajiunge na ccm na wampe ukatibu mkuu kama hajaachia ngazi mwenyewe!
Una uhakika gani kile ndo kilichofanya afukuzwe?..na kwanini muda wote hadi leo waje wafanye hivo!...naweza amini wamewachunguza hadi kuja fanya hayo maamuzi wana ushahidi wa usaliti wao ni kwanini Nchimbi kapewa onyo na Sophia afukuzweHuwezi kuniambia myu aliyepinga maamuzi ya chama mbele ya vyombo vya habari kama Sofia Simba ni msaliti nikakuamini! Tayari najua sisi nchi hizi kupingana na viongozi ni dhambi kubwa.
MKUU SIYO KWAMBA HAPENDI KUKOSOLEWA UNA KOSOA UNA KOSOA KWA LIPI EM KOSOA BASI TUONE.Mkuu apendi kukosolewa
Wewe unasema cha nini sisi tunasema tutakipataje? Wait and seeSio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Inamaana UKAWA wamelala?CCM mpya yaja.!