peter odada
Member
- Dec 30, 2016
- 35
- 36
Nñ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio suala la mgombea. Ccm wao wanatangaza matokeo tu washinde wasishinde. Tume ya uchaguzi ya kwao. Ss kwanini wasishinde.Labda njia ya kuzimu!!! Mimi nawashauri chadema watafute mgombea mwingine !! Kwa aliyepo!! Mmmmmh!!!
VimepoteaVyeti vya Bashite Tayari au bado?
Huna lolote unalojua. Jiandaeni na sherehe za kupokea mizoga na makapi ya CCM. Yote yatamfata Baba yao EL.Ccm imezikwa leo hapa dodoma wewe endelea kujikomba sisi ndio tunajua
Vimepotea
Wataenda CHADEMA kumwaongezea nguvu kina Lowasa ya kuififisha CHADEMA ili CCM 2020 ipite kwa kishindo, kwa akili ya haraka utaona wametimuliwa lakini kuna baadhi yao wametumwa kwenda kuvuruga upinzani, CHADEMA tuamke tunaletewa maluki bao la mkono linaandaliwa sasa hivi Hawa ccm sio watu wazuri kabisaHusika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.
Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
mmmmmhh hali mbaya kwa kila mtu aisee... Hata JK huko aliko atakuwa analalama tu maana deals zake nyingi zimepigwa kapuni.
Mambo mtaani hayaendi tunaambiwa hatufanyi kazi ndio maana ngawira mfukoni hazikai, ila Daaaah after 10 years jamaa atatuacha na miundombinu mizuri kabisa kila wilaya ya nchi hii itakuwa imeunganishwa kwa rami na mambo mengine makubwa yaweza kufanyika ila sasa mpaka tufike huko hakuna rangi tutaacha kuona..
CCM wataiba kura, kumbuka mkuu wa uchakachuaji January makamba yupo ccm bado, wangemfukuza huyo ndipo Wapinzani wangepata ahueni.kiukweli chadema wakishindwa kuchukua nchi 2020 basi hawatoweza tena.
hakuna kipindi kitakuwa kirahisi kama hiki.
magufuli kwa staili ya uongozi wake hata msipopiga kampeni, Whitehouse mnayo.
let us wait,
kwaiyo waliokuwa wanaimba nyimbo wanaimani na lowasa walikuwa akina nani?We muongo kabisaaaa!!! Kuwa hawakumuunga mkono ili apitishwe ni uongo mikubwa!! Kwanza mheshimiwa hakuwa na makundi ndani ya chama!! Unamsingizia kabisaaaa!!! Wengi wao ni team lowasaa na walimpa muda mgumu wakati wa kampeni mchana CCM usiku chadema!!
Hujielewi wewe!Sawa we mwaga povu kumsifia na kumfagilia nkurunzinza utafikir upo UK ngoja hili jini mnalofuga liishiwe damu halafu iwe zamu yako kunyonywa ndo utaelewa maana wengine mnasubili popobawa ale msambwanda ndo utaelewa alichosema lissu kuwa white house imevamiwa na muumiani! Yaan wewe ndo boga kabisa unaona kabisa chama kinaliwa msembwende na popobawa we bado huamini sasa zamu yako haina muda mrefu