MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Ndio hvyo washaamua bashe kapeta ila nawe jiandaeBado Bashe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hvyo washaamua bashe kapeta ila nawe jiandaeBado Bashe
Vipi kufanya kazi na mtu unayejua hana imani na wewe bali na mwingine aliyeko upinzani?Ishu sio wimbo..hata jk mbona aliimba nao..ishu ni actions zao baadhi baada ya kutoka pale na baada ya uchaguzi..ccm sio Saccos babu kama vyama vingine..
Chama chochote chenye timua-timua kinachodhani kila mwenye mawazo mbadala ni msaliti KAMWE hakiwezi kudumu. Hapa ndio mwanzo wa mwisho wa ccm.
P.u.mba.vu...Kama CCM haikufa pale alipoondoka Nyerere,alipoondoka mwanachama mwenye kadi namba 5 ambae ni Kingunge,akaondoka mzee mzima LOWASSA!!na bado chama hakikufa!basi CCM haitokufa kwa kufagia wanachama wasaliti na wanafiki kama Sophia na wenzie kina Madabida!!
Waende!!Vijana tulikosa nafasi ndani ya CCM kwa ajili ya watu kama hawa kung'ang'ania madaraka..
Wacha watoke nasie tuingie!!
Oil chafu itapelekwa kwa nyumbu zoazoa hili wajenge ukuta waoUkiona wenye kukijua chama wanaondoka au wanatoswa ujue chama hicho kinapoteza utambulisho wake.
Ungependa ccm kiendelee kubaki madarakani?!"Ccm itauliwa na mtu kutoka ndani ya ccm" Mwl. JK Nyerere na inanikumbusha enzi za kifo cha KANU kinya na bwana MOI aliwafukuza kina KIBAKI yaliyokikuta chama sasa wote tunajua
Kwani mmeanza kupokea wasaliti?Dikteta uchwara katika ubora wake hataki kupingwa! Lakini wakati huo huo bado kawakumbatia wahuni, majangili, wezi, wapokea na watoa rushwa, wafitini na mafisadi ndani ya chama. Kama ilivyomshinda nchi chama pia kimemshinda kukiendesha huyu mkurupukaji.
Tunaishi katika dunia tofauti kabisa. Ustaarabu ule bado hatujafikia, labda hatutofikia hivi karibuni. Tujifunze kuishi na mabadiliko haya. Maana hakuna jinsi. Kwa sasaItakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?
Sio kwa povu hilo[emoji30][emoji30]!!Huna Chama wakati wewe ni Chagadema!!P.u.mba.vu...
Kumbe n walewale, unataka nafac kumbe!! Kumbuka hata dola kubwa kubwa zilisambaratika na kufkia ukomo wake, ije iweje kiccm tu kinachochukiwa na watu wengi mpaka mimi nisiyekuwa na chama, Inaonekana ww unabashite ktk kufikiria mambo!!
Sasa yaani angalau ccm wamefanya waziwazi na sababu zimesemwa na faili lipo la nani alifanya nini, wapi, na nani.Itakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?
Hivi tukiendana na uhalisia hao wamebaguliwa kwenye nini...?! Nadhani ni hisia tu... Hata hivyo chama sio ccm tu kuna chadema inaweza ikashika dola pia...Hapo kwenye red mkae mkijua hicho kilichonenwa siku moja kitakuja kuisambaratisha hii nchi... Amini nakwambia hao ambao mmewabagua iko siko watakuja kudai wawe na nchi yao wenyewe..
Kushindwa kutafakari mambo ndio kosa. Hoja yako imejengwa kwenye fikra uchwara. Unadhani kuvujisha siri za kampuni kutakuacha salama? Au mko vitani halafu wewe unatoa siri zenu kwa adui ili ashinde vita, kwa kigezo cha kijinga kabisa, eti kupishana mawazo. Ngoja nikusaidie, kupishana mawazo wakati wa kupanga ni sawa, lakini wazo moja linapopitishwa, tofauti zenu zinakoma hapo, wote mnasimamia wazo hilo, na si kufanya juhudi za chini chini kulihujumu. Nadhani umeelewa.Chaguzi zozote huwa kuna kupingana kwa mawazo hasa chaguzi za ndani.
Kanye uchaguzi wa CCM, wagombea walikuwa wengi, Lowassa, Membe, Magfuli, Makamba, Mwigulu na wengineo, sasa Magufuli alitaka wote wamsapoti yule aliyetakiwa na mwenyekiti aliyepita? Nini maana ya uchaguzi? Anapsema mwenyekiti aliwalipa PESA lakini baso wanaimba wanaimani na Lowassa, je wangeimba wanaimani na Magufuli wangefukuzwa?
Na nini maana ya uchaguzi? Kusiwe basi na Uchaguzi, Mwenyekiti wa Chama awe anateua Mgombea Uraisi kusiwe na uchaguzi maana kwenye uchaguzi lazima yaliyomkera Mkuu yapo.
Sasa CCM kukosoa Serikali marufuku, anachosema mkuu lazima kufanyika, ukihoji huna wanachama, ama unawekwa ndani kama akina Msukuma jana hahahahahaha .
Mlikuwa mapema wapinzani wanamwonea huyu jamaa kumwita Uchwara, kwa Macho yenu mmeona.
Twendeni sasa kimya kimya, lakini najua upinzani hawata nyamaza, Ila CCM lazima wawe kimya maana uwanachama wao kaushikiria MKUU.