Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Ishu sio wimbo..hata jk mbona aliimba nao..ishu ni actions zao baadhi baada ya kutoka pale na baada ya uchaguzi..ccm sio Saccos babu kama vyama vingine..
Vipi kufanya kazi na mtu unayejua hana imani na wewe bali na mwingine aliyeko upinzani?
 
Chama chochote chenye timua-timua kinachodhani kila mwenye mawazo mbadala ni msaliti KAMWE hakiwezi kudumu. Hapa ndio mwanzo wa mwisho wa ccm.

Jamaa ww ni either nyumbu au hujielewi, mlifukuza zitto mbona chama hakikufa, mkafukuza padri pia chama hakijafa..ni nan pale CDM alivaa makoti ya hao watu wawil had sasa? Mashinji au mnyika?? Jitafakari tena
 
Kama CCM haikufa pale alipoondoka Nyerere,alipoondoka mwanachama mwenye kadi namba 5 ambae ni Kingunge,akaondoka mzee mzima LOWASSA!!na bado chama hakikufa!basi CCM haitokufa kwa kufagia wanachama wasaliti na wanafiki kama Sophia na wenzie kina Madabida!!
Waende!!Vijana tulikosa nafasi ndani ya CCM kwa ajili ya watu kama hawa kung'ang'ania madaraka..
Wacha watoke nasie tuingie!!
P.u.mba.vu...

Kumbe n walewale, unataka nafac kumbe!! Kumbuka hata dola kubwa kubwa zilisambaratika na kufkia ukomo wake, ije iweje kiccm tu kinachochukiwa na watu wengi mpaka mimi nisiyekuwa na chama, Inaonekana ww unabashite ktk kufikiria mambo!!
 
Sidhani kama Nyerere alimaanisha upinzani imara utatokana na watu wa kariba ya Sophia Simba....na hata kama ikitokea hivyo, sioni tatizo maana "upinzani imara" ni kitu kizuri kwa taifa..ni hayo tu kwasasa
 
Dikteta uchwara katika ubora wake hataki kupingwa! Lakini wakati huo huo bado kawakumbatia wahuni, majangili, wezi, wapokea na watoa rushwa, wafitini na mafisadi ndani ya chama. Kama ilivyomshinda nchi chama pia kimemshinda kukiendesha huyu mkurupukaji.
Kwani mmeanza kupokea wasaliti?
 
Itakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?
Tunaishi katika dunia tofauti kabisa. Ustaarabu ule bado hatujafikia, labda hatutofikia hivi karibuni. Tujifunze kuishi na mabadiliko haya. Maana hakuna jinsi. Kwa sasa
 
P.u.mba.vu...

Kumbe n walewale, unataka nafac kumbe!! Kumbuka hata dola kubwa kubwa zilisambaratika na kufkia ukomo wake, ije iweje kiccm tu kinachochukiwa na watu wengi mpaka mimi nisiyekuwa na chama, Inaonekana ww unabashite ktk kufikiria mambo!!
Sio kwa povu hilo[emoji30][emoji30]!!Huna Chama wakati wewe ni Chagadema!!
Chama ni watu na watu wenyewe ndio kama sisi na wale!!
Vimba,Nuna,ikibidi pasuka
 
Itakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?
Sasa yaani angalau ccm wamefanya waziwazi na sababu zimesemwa na faili lipo la nani alifanya nini, wapi, na nani.
Ingekuwa Chadema tifu lake ni balaa..

Fikiria unayakumbuka yaliyomkuta zitto baada tu ya kutamka anautaka uenyekiti wa chadema?
Unakumbuka yaliyomkuta kwa kutamka tu kuwa anataka mabadiliko na atagombea urais (badala ya Dr. Slaa?).

Fikiri leo mtu leo ndani ya chadema aisapoti ccm waziwazi wakati wa uchaguzi..

Au kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema asimame aimbe ana imani na zitto kabwe, au ana imani na Magufuli..

Matukio yatakayomkuta mtu huyo hayatamkiki.
 
Hapo kwenye red mkae mkijua hicho kilichonenwa siku moja kitakuja kuisambaratisha hii nchi... Amini nakwambia hao ambao mmewabagua iko siko watakuja kudai wawe na nchi yao wenyewe..
Hivi tukiendana na uhalisia hao wamebaguliwa kwenye nini...?! Nadhani ni hisia tu... Hata hivyo chama sio ccm tu kuna chadema inaweza ikashika dola pia...
 
Chaguzi zozote huwa kuna kupingana kwa mawazo hasa chaguzi za ndani.

Kanye uchaguzi wa CCM, wagombea walikuwa wengi, Lowassa, Membe, Magfuli, Makamba, Mwigulu na wengineo, sasa Magufuli alitaka wote wamsapoti yule aliyetakiwa na mwenyekiti aliyepita? Nini maana ya uchaguzi? Anapsema mwenyekiti aliwalipa PESA lakini baso wanaimba wanaimani na Lowassa, je wangeimba wanaimani na Magufuli wangefukuzwa?

Na nini maana ya uchaguzi? Kusiwe basi na Uchaguzi, Mwenyekiti wa Chama awe anateua Mgombea Uraisi kusiwe na uchaguzi maana kwenye uchaguzi lazima yaliyomkera Mkuu yapo.

Sasa CCM kukosoa Serikali marufuku, anachosema mkuu lazima kufanyika, ukihoji huna wanachama, ama unawekwa ndani kama akina Msukuma jana hahahahahaha .

Mlikuwa mapema wapinzani wanamwonea huyu jamaa kumwita Uchwara, kwa Macho yenu mmeona.

Twendeni sasa kimya kimya, lakini najua upinzani hawata nyamaza, Ila CCM lazima wawe kimya maana uwanachama wao kaushikiria MKUU.
 
Kushindwa kutafakari mambo ndio kosa. Hoja yako imejengwa kwenye fikra uchwara. Unadhani kuvujisha siri za kampuni kutakuacha salama? Au mko vitani halafu wewe unatoa siri zenu kwa adui ili ashinde vita, kwa kigezo cha kijinga kabisa, eti kupishana mawazo. Ngoja nikusaidie, kupishana mawazo wakati wa kupanga ni sawa, lakini wazo moja linapopitishwa, tofauti zenu zinakoma hapo, wote mnasimamia wazo hilo, na si kufanya juhudi za chini chini kulihujumu. Nadhani umeelewa.
 
Back
Top Bottom