zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
wanaxhama wote walihusika kutunga katiba mpya ambayo haina ukomo wa muhula wa mwenyekiti sasa mbowe anaingiaje hapo?? kamati ilikuwa chini ya baregu na mnyika na ilikuwa 2006 kipindi hata mbowe hajamaliza miaka 2 kwenye kiti ssa ulifkiri alikuwa amejizatiti kiasi cha kudictate katiba???.............au kama chadema, unabadilisha Katiba ili uwe Mwenyekiti milele kisa na cha Babamkwe na anaye jaribu kugombea unampa kesi ya usaliti ....halafu wachaga wote wanaitikia ameeeen t
zitto hajaitwa msaliti kisa kugombea uenyekiti ila matendo yake yalimfanya asiaminike ukaribu na kikwete pia kuwa na mismamo tofauti nje ya chama ndo kulimfanya aonekane na walakini na msumari wa mwisho ilikuwa WARAKA bila waraka sioni jinsi gani angetolewa maana angeonekana kaonewa ila waraka ulionyesha dhahiri nia yake ovu ya kutaka kugawa chama maana alitaka aweke pandikizi kwanzia makao makuu hadi kwenye shina je hyo ni halali???
mimi sio mchagga mbona huku kigoma ujijitunaisupport chadema miaka mingi tu? dar mbeya iringa hiyo miji mikubwa yenye wapiga kura wengi sana mbona sio wachagga wote ila wamesupport chadema???
acheni propaganda ccm kma mnaona waliomtaka lowasa walikuwa wengi si mngefanya maridhiano tu maadam uchaguzi umepita ssa ya kufukuzana ya nni???