John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Na Mimi narudia tena kusisitiza kwamba Ujamaa/Ukomunisti ni ni Mfumo mbaya Sana wa maisha hapa duniani. Ujamaa na/au Ukomunisti hasa ni USHETANI, haufai hata kidogo.Hivi umeekewq nilichoandika. Narudia ujamaa siyo mfumo mbaya wa maisha.
Marekani alitumia nguvu kubwa kuufanya ujamaa ufeli akapindua na kuua viongozi wote waliokua wana mawazo ya kijamaa dunia nzima kulinda interest zake hivyo kupelekea nchi za ujamaa kuwa masikini. Kwa sasa hivi kuuishi ujamaa sababu utawekewa vikwazo vya kila aina na mtaishi kimasikini.
Ujamaa kama mfumo si mbaya sema ircumstances haziruhusu kuuishi ujamaa.
Hivi kwa hapa Tanzania ni kiongozi gani wa Serikali hii ambaye ni Mjamaa aliuawa na Serikali ya Marekani kutokana na kitendo cha huyo kiongozi kuunga mkono Itikadi ya Ujamaa? Je, Mwl Nyerere aliuawa na Marekani?