SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Nilisema nitakufuata hata usingizini mke wangu..Bro una hamu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema nitakufuata hata usingizini mke wangu..Bro una hamu??
Sijaandika wanakula hovyo hovyo ila wanajilia vitu vya hovyo elewa hii sentesiMwanajeshi vitani halo hovyo,hao wapo chini ya jeshi la urusi
KmmkNilisema nitakufuata hata usingizini mke wangu..
Ignore list tayari ufungue na nyingine pimbi weweSina Pesa ya kukupa na umasikini wangu, true love is the only thing i can to you my love 😘
Ninakupenda mnoo cha utundu wewe. Nilikwambia PM kwa kutumia ID ile na sasa ninakuambia kwa ID hii..
Huyo mwamba huwa anapiga marafuku tu kwa wananchi kawaida, ila elite class inayoish mji mkuu wanaruhusiwaHuyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.
Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Hizi story zimeenea sana vijiwe vya Draft Kurasini.Tukisema soseji pamoja na MacDonald zina ingredients zenye vinasaba vya binadamu mtasema ni Conspiracy.
Kweli kabisa, hapa kurasini hiyo ndyo mada kuu hususan huu upande wa bahari.Hizi story zimeenea sana vijiwe vya Draft Kurasini.
China na Urusi kuna unafuu kidogo kuliko Tanzania???? Are you serious?Sisi na Korea Kaskazini ni MAZOMBI wa WATAWALA. China na Urusi kuna ka unafuu kidogo. WATASHI O SHINJITE.
Noted.China na Urusi kuna unafuu kidogo kuliko Tanzania???? Are you serious?
Kwa taarifa yako, China na Urusi kuna tawala za kidhalimu na za kidikteta sawa sawa na Tanzania au Korea ya Kaskazini, hakuna nchi yenye unafuu. Aidha, China ndiyo nchi inayoongoza kwa Sasa hapa duniani kwa kuua au kunyonga Watu wengi zaidi nje ya Mfumo wa Mahakama zikifuatiwa na nchi za kiArab kama vile Pakistan, Iran, Afghanistan, n.k. Nchini China au Urusi ukithubutu kuukosoa Utawala uliopo au kumkosoa mtawala yoyote yule kitakachofuatia ni mkosoaji kutekwa na kisha, kuteswa sana na mwisho wake atauawa. Nchini China au Urusi, kumkosoa mtawala yoyote yule hususani Rais wa nchi ni sawa sawa na kujikatia tiketi ya kifo.
Ukiwa nchini China au Urusi, ukimkosoa Rais wa nchi hizo lazima utambue ya kwamba utaadhibiwa kwa kuuawa, aidha utauawa kwa kutekwa na kuangamizwa au utauawa kwa kuwekewa sumu kwa Siri ili ufe. Mapolisi wa Siri au Mawakala wa Siri kutoka kwa Magenge ya Ujasusi ya Serikali huwa wako busy Sana kufanya kazi hiyo ya kuua Watu wakosoaji wa Serikali. Take a great Care!
Hivi hakuna raia anaweza akajitoa ufahamu akamla kichwa?
Wapo kwenye gereza waliloruhusiwa kutembea na kulala nyumbani huku uhuru wao ukimilikiwa na nyapala mkuu kidukuHuyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.
Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Anakula sometimes kutoka Italy 🇮🇹Halafu anapendelea mchezo wa kikapu toka US
Ujamaa ulifelishwa kwa nguvu na marekani. Ujamaa si mfumo mbaya wa maisha.Ujamaa ni mfumo wa utawala unaomfanya kiongozi wa juu aonekane mkubwa kupita kiasi.
Nchi za kijamaa Serikali ina fedha ila raia ni makapuku.
Wananchi wa kawaida wanatabika mno huku watawala wakiwatenda watakavyo bila kuhojiwa.
Waliue kisa tu soseji?Si waliue, kuna watu wanafanya wenzao waishi kwa tabu sana hapa duniani
Go Kim ,hii ndio tunahitaji,watu wale raw foods kwa afya za mataifa yao,na uchumi boraKatika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---
North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.
Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.
People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.
As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka
The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.
It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.
The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Kama ujamaa siyo Mfumo mbaya wa maisha basi badili uraia wako ili uwe raia wa Korea ya Kaskazini, na uhamie huko Korea ya Kaskazini ili uishi huko kwa muda wako wote wa uhai wako uliobakia hapa dunianiUjamaa ulifelishwa kwa nguvu na marekani. Ujamaa si mfumo mbaya wa maisha.
Hivi umeekewq nilichoandika. Narudia ujamaa siyo mfumo mbaya wa maisha.Kama ujamaa siyo Mfumo mbaya wa maisha basi badili uraia wako ili uwe raia wa Korea ya Kaskazini, na uhamie huko Korea ya Kaskazini ili uishi huko kwa muda wako wote wa uhai wako uliobakia hapa duniani
Kwa nini ujamaa ulishindwa USSR/Urusi?Hivi umeekewq nilichoandika. Narudia ujamaa siyo mfumo mbaya wa maisha.
Marekani alitumia nguvu kubwa kuufanya ujamaa ufeli akapindua na kuua viongozi wote waliokua wana mawazo ya kijamaa dunia nzima kulinda interest zake hivyo kupelekea nchi za ujamaa kuwa masikini. Kwa sasa hivi kuuishi ujamaa sababu utawekewa vikwazo vya kila aina na mtaishi kimasikini.
Ujamaa kama mfumo si mbaya sema ircumstances haziruhusu kuuishi ujamaa.