Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #141
Correlation is not causationSawa lakini inaongeza huo upatikanaji.
Kama umesoma hio report ya Who kila watu 6 wanaokufa mmoja anakufa na Kansa,
Na ukiangalia rate ya Kansa Nchi zinazokula processed food wanakufa zaidi na Kansa kuliko nchi masikini, sio coincidence mkuu.
Ikiwa nchi wanazolima ngano kwa wingi au wanaokula sana kitimoto zina rate kubwa ya kansa hivyo vitu ndivyo vitakuwa vinasababisha kansa?
Umewahi kufuatilia ukajua nchi zenye rate kubwa ya kansa ni nchi zenye wazee zaidi, zenye vinu vingi vya nuclear, zenye watu wengi wasiofanya kazi za mashambani, zenye hospitali bora n.k??