Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Haya ni mawazo yako na ni uongo
Kwako ni uongo sbb hujui kitu chochote kuhusu Food industries wala beverage industries, ww ni mlaji tu, hujui anything.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni mawazo yako na ni uongo
Sun, mirror, daily mail ni gazeti moja majina tofauti, yote ya udaku.New York Post, The Mirror na Dail Maily wameandika pia.
Kun mifupa ilipimwa south Afrika ya zamani sana iligundulika baadhi walikufa kwa cancerWatu walikuwa wanaishi maisha marefu sana ya wastani wa miaka mingapi?
Unafahamu cancer na kisukari vilikuwepo hata katika Misri ya kale ya mafarao?
Unafahamu mgiriki Hippocrates aliyieshi miaka 400 kabla ya Yesu alikuwa anazungumzia cancer??
Unafahamu mgiriki Aretaeus karne ya kwanza alikuwa anazungumiza kisukari
Kulikuwepo na processed foods enzi hizo?
Wewe ni muongo unadanganya watu eti vyakula vya mcdonald havioziKwako ni uongo sbb hujui kitu chochote kuhusu Food industries wala beverage industries, ww ni mlaji tu, hujui anything.
Wale jamaa ulishawahi ona kuna hospitali karibu na jamii zao?Unawapimaga au ni hisia zako
Junk food ni chakula cha aina gani?Sio haviozi tu, vimeekewa hadi addictives ingredients zinazokufanya kama teja la kula vyakula hivyo, which is very dangerous, yaani ukianza kula hivyo vyakula is like unakula addictives za aina fulani za madawa ya kulevya, just like Coke, na unaanza kushindwa kuacha kula hizo Fast Food or Junk food zao, utakula mfululizo sbb of those addictives, na utakuwa teja lao bila ww kujijua na vyakula natural or Organic or close to organic huwezi kula, utaona havina ladha au utaanza kuvikwepa na kula mara moja moja sana.
Wagonjwa wengi wa cancer wanaijua ikiwa stage za mwishoniWale jamaa ulishawahi ona kuna hospitali karibu na jamii zao?
Ulishawahi kuona wahadzabe wakilalamika hawana hospitali?
Ulishawahi kuona mmasai ndani ya rubega yake akienda hospitalini labda kama ni mlinzi.
Bro vyakula wanavyokula vinafanya wawe resistant kwa magonjwa hasa yale yasiyoambukiza.
Na hiyo cancer inasababishwa na lifestyle ya mtu. Watu wengi wanaoishi mjini wanaumwa kansa kutokana na vyakula wanavyokula na kansa inashambulia wadada wengi wa mjini kutokana masuala ya vipodozi. Mfano wale wanaoweka ngozi zao kwenye mionzi.Wagonjwa wengi wa cancer wanaijua ikiwa stage za mwishoni
Ugonjwa kama cancer mara nyingi ukianza hauwezi jua kama sio mtu wa kupima
Wewe ni muongo unadanganya watu eti vyakula vya mcdonald haviozi
Tena vyakula vya asili ndo vinachukua mda mrefu kuoza mfano viazi vya asili vinakaa mda mrefu bila kuoza
Nyanya za asili zilikua zinakaa mda mrefu bila kuoza same kwa karoti
Vyakula vya kisasa ndani ya mda mfupi sana vinaanza kuharibika
anawatetea wananchi wake wasile nafsi zao kosa lake liko wapiKatika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---
North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.
Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.
People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.
As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka
The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.
It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.
The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Wastani wa miaka ya kuishi(average life expectancy) ya Wahadzabe na jamii nyingi indigeneous duniani ni miaka 32.Wale jamaa ulishawahi ona kuna hospitali karibu na jamii zao?
Ulishawahi kuona wahadzabe wakilalamika hawana hospitali?
Ulishawahi kuona mmasai ndani ya rubega yake akienda hospitalini labda kama ni mlinzi.
Bro vyakula wanavyokula vinafanya wawe resistant kwa magonjwa hasa yale yasiyoambukiza.
Samahani, Korea Kaskazini ni Wajamaa au Komunisti? Maana wanasema Sweden, Norway ni Socialist (Wajamaa). Au ujamaa wa Korea Kaskazini ndio Ujamaa uchwara wenyewe?Ujamaa ni mfumo wa utawala unaomfanya kiongozi wa juu aonekane mkubwa kupita kiasi.
Nchi za kijamaa Serikali ina fedha ila raia ni makapuku.
Wananchi wa kawaida wanatabika mno huku watawala wakiwatenda watakavyo bila kuhojiwa.
Cancer haisababishwi tu na lifestyle inadhaniwa hivyo ila Hakuan dunuani anayejua hasa sababu kuu ya cancer ni ipi ni fumboNa hiyo cancer inasababishwa na lifestyle ya mtu. Watu wengi wanaoishi mjini wanaumwa kansa kutokana na vyakula wanavyokula na kansa inashambulia wadada wengi wa mjini kutokana masuala ya vipodozi. Mfano wale wanaoweka ngozi zao kwenye mionzi.
Ushahidi?Wastani wa miaka ya kuishi(average life expectancy) ya Wahadzabe na jamii nyingi indigeneous duniani ni miaka 32.
15000 hadi sasa Zelensky anasemaAmewapeleka wanajeshi wake kupukutika Ukraine
Soseji ni malaji ya kissenge wacha apige marufukuKatika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---
North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.
Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.
People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.
As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.
North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.
People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka
The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.
It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.
The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Yawezeksna ni propaganda kuweka idadi hiyo, ila walau ukweli ni kwamba wanapukutika kizembe15000 hadi sasa Zelensky anasema