Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Mamlaka gani? Mamlaka ambazo zimejaa criminals and child traffickers? Pedophilians?
Endelea kula matobolwa na maziwa tu huko kwenu huku unajaza takataka za wazungu wehu za mtandaoni zisizo na kuchwa wala miguu kichwani kwako.
 
Sawa mkuu wacha niendelee kujaza hivyo kichwani mwangu.
 
Sausages, kuku wa kisasa, eggs za kisasa, Fast Food like KFC, McDonalds, Burger King, Texas Chicken, Taco Bell, Subway, Wendy’s, Dunkin’ Donuts all junk food out there + sodas + Starbacks avoid by all means if you wanna live longer in this world..!!
 
Kuna mtu aliwahi kusema wazungu wameendelea kwa kuleta supu za makopo

Kaa mbali kabisa na hizo highly processed foods and very dangerous, take any fast food like McDonald weka ndani itakaa hata mwaka haiozi, meaning bacteria hawali kabisa, that is very very dangerous, ukiona chakula hakiozi, jua bacteria hata hawagusi, hiyo ni poison..!!
 
Sijui nani alianzisha mfumo wa watu kuwatawala watu kiuahalisia ilibidi tuishi free kama wanyama ambao hawana serikali,huu utaratibu wa kuwafanya watu wawe na nguvu dhidi yetu matokeo yake ndio haya mtu anaweza hata kutoa amri watu watembee uchi na ukikiuka ule shaba na watu watatii
 
Kaa mbali kabisa na hizo highly processed foods and very dangerous, take any fast food like McDonald weka ndani itakaa hata mwaka haiozi, meaning bacteria hawali kabisa, that is very very dangerous, ukiona chakula hakiozi, jua bacteria hata hawagusi, hiyo ni poison..!!
Sahihi kabisa, pia tukisema ipo agenda ya depopulation watasema ni Conspiracy, lengo la hivyo vyakula ni kumaliza watu na kutengeneza pesa kutokana na magonjwa kama cancer, obesity.
 
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---

North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.

Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.

People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.

As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka

The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.

It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.

The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Masikini Wakorea🥺
 
Sausages, kuku wa kisasa, eggs za kisasa, Fast Food like KFC, McDonalds, Burger King, Texas Chicken, Taco Bell, Subway, Wendy’s, Dunkin’ Donuts all junk food out there + sodas + Starbacks avoid by all means if you wanna live longer in this world.
🤝
Na tusisahau mazoezi ya mwili.
 
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---

North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.

Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.

People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.

As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka

The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.

It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.

The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Kwani mtu asipokula soseji anakufa
 
Kaa mbali kabisa na hizo highly processed foods and very dangerous, take any fast food like McDonald weka ndani itakaa hata mwaka haiozi, meaning bacteria hawali kabisa, that is very very dangerous, ukiona chakula hakiozi, jua bacteria hata hawagusi, hiyo ni poison..!!
Kwamba vyakula vya mcdonald haviozi aisee mbona unadanganya sana alafu waziwazi
 
Sausages, kuku wa kisasa, eggs za kisasa, Fast Food like KFC, McDonalds, Burger King, Texas Chicken, Taco Bell, Subway, Wendy’s, Dunkin’ Donuts all junk food out there + sodas + Starbacks avoid by all means if you wanna live longer in this world..!!
Hata Chips mayai na ugali wa sembe ni junk foods, kaa navyo mbali.
 
Ni ngumu sana. Kasambaza vipenyo kila mahali, na kahakikisha hakuna mawasiliano kati ya raia wa Korea Kaskazini na watu wa nje wa taifa hilo na raia wanamezeshwa propoganda za kina Kim tangu wanaanza shule za vidudu mpaka chuo. Kuna hadi Wakorea wanaoamini wakina Kim ni miungu!
Ataliwa timing tu huyo
 
Sahihi kabisa, pia tukisema ipo agenda ya depopulation watasema ni Conspiracy, lengo la hivyo vyakula ni kumaliza watu na kutengeneza pesa kutokana na magonjwa kama cancer, obesity.
Kabla ya hivyo vyakula kuja Afrika watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana na kulikuwa hamna magonjwa kama kansa na kisukari kwakuwa watu walikuwa wanakula vitu asilia.
 
Back
Top Bottom