Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Mwamba mbabe huyu, kuna sehem niliona eti kila nyumba lazima iwe na picha yake kama vile tunavoona mapicha ya rqis kwenye ofisi za kibongo! Na sku yake ya kuzaliwa ni national holiday. Nchi yenyewe karithi kutoka kwa mshua wake alafu kiburi hatari
 
Hata Chips mayai na ugali wa sembe ni junk foods, kaa navyo mbali.

Mayai ya kienyeji na chips hazina shida kabisa utengeneze kwako nyumbani elewa hilo vema, sbb mafuta yako nyumbani ni mazuri
 
Mwamba mbabe huyu, kuna sehem niliona eti kila nyumba lazima iwe na picha yake kama vile tunavoona mapicha ya rqis kwenye ofisi za kibongo! Na sku yake ya kuzaliwa ni national holiday. Nchi yenyewe karithi kutoka kwa mshua wake alafu kiburi hatari
Ana roho mbaya.
 
Kabla ya hivyo vyakula kuja Afrika watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana na kulikuwa hamna magonjwa kama kansa na kisukari kwakuwa watu walikuwa wanakula vitu asilia.
Kulikua hamna magonjwa ilihali hata vipimo kuliwa hamna acha uongo sasa hayo magonjwa walikuwa wanapimaje sababu vipimo kaleta mzungu
 
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---

North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a crackdown on Western culture infiltrating the hermit kingdom.

Dictator Kim Jong Un has declared that serving the sausage was an act of treason, The Sun reports, amid the rising popularity of a South Korean dish inspired by the US.

People caught selling or cooking hot dogs face the prospect of time in the country’s infamous labor camps, while Pyongyang has also decreed that divorcees could also be jailed.

As part of the regime’s efforts to quash capitalist culture among citizens, it has forbidden the sale of budae-jjigae – a dish imported from pro-Western neighbor South Korea.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned the sale of South Korean dish budae-jjigae.

North Korean dictator Kim Jong Un has banned citizens of eating hot dogs. Korean Central News Agency/Korea News Service via AP

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp.

People caught selling or cooking hot dogs can face time in a labor camp. Paul Martinka

The spicy Korean-American hotpot – which means “army base stew” – includes hot dogs or spam among it ingredients.

It was born from meats discarded by US soldiers based in the region during the Korean War of the 1950s, with hungry locals using the items to create stews.

The fusion fare is believed to have crossed the border into North Korea some time in 2017, decades after it was invented in the south.
Sun ni kama Gazeti la ijumaa ama kiu huku Tanzania. Asilimia kubwa ya mambo tunayoambiwa kuhusu North Korea sio ya kweli.
 
Kulikua hamna magonjwa ilihali hata vipimo kuliwa hamna acha uongo sasa hayo magonjwa walikuwa wanapimaje sababu vipimo kaleta mzungu
Mkuu swali dogo.
Ulishawahi kusikia Mhadzabe anaumwa kansa au kisukari?
Au ndo vipimo bado havijafika huko?
 
Sun ni kama Gazeti la ijumaa ama kiu huku Tanzania. Asilimia kubwa ya mambo tunayoambiwa kuhusu North Korea sio ya kweli.
New York Post, The Mirror na Dail Maily wameandika pia.
 
Kwamba vyakula vya mcdonald haviozi aisee mbona unadanganya sana alafu waziwazi


Sio haviozi tu, vimeekewa hadi addictives ingredients zinazokufanya kama teja la kula vyakula hivyo, which is very dangerous, yaani ukianza kula hivyo vyakula is like unakula addictives za aina fulani za madawa ya kulevya, just like Coke, na unaanza kushindwa kuacha kula hizo Fast Food or Junk food zao, utakula mfululizo sbb of those addictives, na utakuwa teja lao bila ww kujijua na vyakula natural or Organic or close to organic huwezi kula, utaona havina ladha au utaanza kuvikwepa na kula mara moja moja sana.
 
Sio haviozi tu, vimeekewa hadi addictives ingredients zinazokufanya kama teja la kula vyakula hivyo, which is very dangerous, yaani ukiaanza kula hivyo vyakula is like unakula addictives za aina fulani za madawa ya kulavya, just like Coke, na unaanza kushindwa kuacha kula, utakula mfululizo sbb of those addictives, na utakuwa teja lao bila ww kujijua
Haya ni mawazo yako na ni uongo
 
Kabla ya hivyo vyakula kuja Afrika watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana na kulikuwa hamna magonjwa kama kansa na kisukari kwakuwa watu walikuwa wanakula vitu asilia.
Watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana ya wastani wa miaka mingapi? Wahadzabe wanaishi wastani wa miaka mingapi?

Unafahamu cancer na kisukari vilikuwepo hata katika Misri ya kale ya mafarao?
Unafahamu mgiriki Hippocrates aliyieshi miaka 400 kabla ya Yesu alikuwa anazungumzia cancer??
Unafahamu mgiriki Aretaeus karne ya kwanza alikuwa anazungumiza kisukari
Kulikuwepo na processed foods enzi hizo?
 
Back
Top Bottom