Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Na Mimi narudia tena kusisitiza kwamba Ujamaa/Ukomunisti ni ni Mfumo mbaya Sana wa maisha hapa duniani. Ujamaa na/au Ukomunisti hasa ni USHETANI, haufai hata kidogo.
Hivi kwa hapa Tanzania ni kiongozi gani wa Serikali hii ambaye ni Mjamaa aliuawa na Serikali ya Marekani kutokana na kitendo cha huyo kiongozi kuunga mkono Itikadi ya Ujamaa? Je, Mwl Nyerere aliuawa na Marekani?
 
Go Kim ,hii ndio tunahitaji,watu wale raw foods kwa afya za mataifa yao,na uchumi bora
Mbona huko kijijini kwako hawali vyakula processed ila afya zao mbovu tu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…