Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Mimi ndo sielewi kabisa,hebu tupe darasa ututoe tongotongo mkuu....Kuna raia bado hazijaelewa Sound Engineers ni kina nani wao wanatiririsha tu Producers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndo sielewi kabisa,hebu tupe darasa ututoe tongotongo mkuu....Kuna raia bado hazijaelewa Sound Engineers ni kina nani wao wanatiririsha tu Producers.
Mtoa post hajitambui eti masound engineer bora Tanzania.Umesema sound Engineer au wapiga vinanda? Nazani hujuwi maana ya sound engineer.
Mtoa post hajitambui eti masound engineer bora Tanzania.
Mtoa post hao uliowatajwa ni ma music producer
Kabisa mkuu hiyo list aliyotaja ni music production jamaa wamekaa wamechanganyachanganya beats , wengine wameokoteza beats kwenye kompyuta wakaziunganisha wakawapa wanamziki waingize sauti zao.Tena sio producer ni beat maker tu Aka wapiga keyboard.
I are you currently pursuing sound engineering course or just having wishful fantasy thinkingNi kweli aisee, ila nategemea siku moja kuingia kwenye hiyo list na kuleta mageuzi makubwa kwenye field ya sound engineering hapa Tanzania
Umeona my current occupation mkuu?I are you currently pursuing sound engineering course or just having wishful fantasy thinking
Hapana mkuu, Kama una taka kupursue hiyo career ni dili Sanaa ila inahitaji shule ya maaana Sana ( bongo hakuna ) na sio ubabaishaji .Umeona my current occupation mkuu?
Dah,1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Dah umenfurahisha mkuu kumbe anaitwa ayo laizer.....hivi ayo laizer sio mtanzania?manake biti zake nazikubali sana
I value my work mkuu ndio maana naenda extra miles kuhakikisha nipo competent na ninachofanyaHapana mkuu, Kama una taka kupursue hiyo career ni dili Sanaa ila inahitaji shule ya maaana Sana ( bongo hakuna ) na sio ubabaishaji .
Mfano niliklcordinate function flani hivi mwanza tulicolaborate na TBL,
TBL walileta sound engineer kufunga sound systems kwenye eneo la function, jamaaa alifanya kazi Kama ya masaa sita hivi akavuta Kama 8m ndio nikafuatilia hiyo fani ndio nikagundua hiyo fani is very marketable na Tanzania ma sound engineer ni wachache Sana.
Na maanisha sound engineer wa kweli sio waunganishaunganisha speakers zikatoa sauti
Hiyo ilikuwa kabla hajaenda uingereza?Dah,
Umenikumbusha mbali sana namba 6 Roy Bukuku mchizi wangu.
Kuna siku mwaka 1999 tume chill internet cafe Raha Towers tuna browse internet na Roy.
Roy mtundu sana, wakati wengine tunabrowse kusoma habari, yeye kaunganisha computer kwenye website gani sijui huko, sasa ile keyboard ya computer, yeye kaifanya imekuwa keyboard ya muziki, akawa anapiga muziki kwa kutumia keyboard ya computer.
Siku hizo mitandao haijashamiri nikamuona Roy anatuzingua sana.
Res In Eternal Peace Roy Bukuku.
Saida karoli zote yeyeKwangu mm Mika mwamba ni bora kuliko wotee! Jamaa alikuwa akitengeneza wimbo lazima uwe hit!
Ndio aliotengeneza wimbo wa Tunda wa muumin mwinjuma, na hit aong zote za daz nundaz ila hawa daz nundaz baada ya kwenda tu kwa majani wakaanza kupotea
Hebu angalia ile beat ya salome ya dully sykes!
acha nikukosea kidogo, ktk hao uliowataja labda watatu tu ndio nawafamu kuwa ni sound engineers by profession. wengine wote ni beat makers, na music record producers. kazi yao ni kusimamia process yote ya kurecord miziki au audio, kumix na kufanya mastering.1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Nafikiri hapo alishapita Uingereza na Belgium kipindi tu akasema anataka kutulia Bongo.Hiyo ilikuwa kabla hajaenda uingereza?
R.I.P roy ugomvi wake G lover ukasababisha akaanzisha album yake ya G2 mara ghafla akafarikiNafikiri hapo alishapita Uingereza na Belgium kipindi tu akasema anataka kutulia Bongo.
Yani kuna wale machizi roho safi wacheshi hawana noma na mtu halafu wako very talented ukikaa nao poa sana huyu alikuwa hivyo.
lamar hamna kitu1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Kuna siku nilikuwa naangalia movie moja inaitwa "Peeples", inahusu mapenzi ya watu weusi matawi ya juu wanaoishi Long Island New York.Saida karoli zote yeye
Sikia biti kama ya embe dodo ama hip hop mdundiko
Dah,
Umenikumbusha mbali sana namba 6 Roy Bukuku mchizi wangu.
Kuna siku mwaka 1999 tume chill internet cafe Raha Towers tuna browse internet na Roy.
Roy mtundu sana, wakati wengine tunabrowse kusoma habari, yeye kaunganisha computer kwenye website gani sijui huko, sasa ile keyboard ya computer, yeye kaifanya imekuwa keyboard ya muziki, akawa anapiga muziki kwa kutumia keyboard ya computer.
Siku hizo mitandao haijashamiri nikamuona Roy anatuzingua sana.
Res In Eternal Peace Roy Bukuku.
For some reason mtu akinitajia Roy nakumbuka siku ile kama jana vile, halafu kama namuona.Mkuu hii story nadhani hutokaa uisahau maishani, maana nakumbuka ushatuahadithia miaka kadhaa iliyopita.. Apumzike panapo stahili Roy Bukuku.