Flava90s
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 309
- 495
Mkuu samahani na wewe kama ntakua nimekukwaza, ila siungi mkono hoja yako ya kwamba sound engineers hawezi kua producer aliyestudio chumbani..
Sound Engineer ni mtu yeyote aliesomea + kua na kipaji (sikio la muziki) atayeweza kumix sound instruments, kubalance levels za sauti tofauti kusikika pamoja bila kuumiza maskio ya msikilizaji, kuweka effects kuongeza ladha na vionjo kwa msikilizaji kwa sauti yenye kiwango kinachostahili (sauti isiwe ndogo sana, wala isiwe kubwa sana).
Kwahiyo Kazi huanzia kwanza kwenye hicho chumba chenye AC itoke perfect maana akizingua producer na sound engineer wake (anaweza kua mtu mmoja pia eg. P Funk) hiyo Kazi ikifika kupigwa kwenye mziki mkubwa wa nje bado ita sound vibaya tu maana mwanzo haukuwa mzuri..
Mwisho na hitimisha kwa kusema sound engineers wa kwanza wenye kipengele kigumu ni hawa wa vyumba vyenye AC (Studio) unless hiyo show iwe ya live performance.
Ndo maana baadhi ya watu wamelist ikiwemo Mimi pia watu kama kina Lamar, Chizan Brain, Dunga, P. Funk hawa ni maproducer (BeatMakers) na pia ni ma engineer kwa ufupi ni jeshi la mtu mmoja anapiga beat ana mix na ku master peke yake ndo maana tumewaweka hapa.
Napenda kukosolewa kama kuna mahali siko sahihi hayo ndo masahihisho yangu.
Tuko hapa kujifunza zaidi.

acha nikukosea kidogo, ktk hao uliowataja labda watatu tu ndio nawafamu kuwa ni sound engineers by profession. wengine wote ni beat makers, na music record producers. kazi yao ni kusimamia process yote ya kurecord miziki au audio, kumix na kufanya mastering.
kwa hapa tz ukitaka kukutana na real sound engineers, hudhuria matamasha makubwa ya mziki halafu chunguza watu wanaosimamia sound nzima inayotoka hapo stegini, wale ndio sound engineers sio hao wa kujifungia kwenye kachumba kenye AC.