thegeniustzda
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 211
- 358
Huyo jamaa hamna kituThat list is vanity if DX wa noizz maker hajawa counted.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa hamna kituThat list is vanity if DX wa noizz maker hajawa counted.
Kwahiyo mkuu sound engineer yeye anafanya kazi kwenye matamasha tu?acha nikukosea kidogo, ktk hao uliowataja labda watatu tu ndio nawafamu kuwa ni sound engineers by profession. wengine wote ni beat makers, na music record producers. kazi yao ni kusimamia process yote ya kurecord miziki au audio, kumix na kufanya mastering.
kwa hapa tz ukitaka kukutana na real sound engineers, hudhuria matamasha makubwa ya mziki halafu chunguza watu wanaosimamia sound nzima inayotoka hapo stegini, wale ndio sound engineers sio hao wa kujifungia kwenye kachumba kenye AC.
RIP Roy wa G recordsNilichanganya kidogo ndio huyo roy bukuku jamaa alifanya hit songs nyingi sana enzi zile ndo amekuja toka england
1.blue blue -mr blue
2.nakupenda-abby skills ft zaharan and dully
3.ice cream-noorah ft sumalee
4.Haiwezekan-saadat ft blue
5.Mapozi-blue
6.baridi-Enika
7.Dakika 1 -Ngwea ft noorah
hapana, wapo kwenye vituo vya tv, makanisani, kwenye kumbi za mikutano, vituo vya radio nk.Kwahiyo mkuu sound engineer yeye anafanya kazi kwenye matamasha tu?
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Hivi unajua sound engineering kweli wewe? Yaani Hayupo Hamy B ambaye amesomea kabisa sound engineering Marekani. Hii list batili tupu1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
aliyenyonga ile ya dingi aeshimike.Nawakubali sana jamaa waliopika beats za hizi hits
Mwanafa- kama zamani
Chege, temba- twenzetu
Mandojo domokaya-dingi,wanoko