Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

acha nikukosea kidogo, ktk hao uliowataja labda watatu tu ndio nawafamu kuwa ni sound engineers by profession. wengine wote ni beat makers, na music record producers. kazi yao ni kusimamia process yote ya kurecord miziki au audio, kumix na kufanya mastering.

kwa hapa tz ukitaka kukutana na real sound engineers, hudhuria matamasha makubwa ya mziki halafu chunguza watu wanaosimamia sound nzima inayotoka hapo stegini, wale ndio sound engineers sio hao wa kujifungia kwenye kachumba kenye AC.
Kwahiyo mkuu sound engineer yeye anafanya kazi kwenye matamasha tu?
 
Nilichanganya kidogo ndio huyo roy bukuku jamaa alifanya hit songs nyingi sana enzi zile ndo amekuja toka england
1.blue blue -mr blue
2.nakupenda-abby skills ft zaharan and dully
3.ice cream-noorah ft sumalee
4.Haiwezekan-saadat ft blue
5.Mapozi-blue
6.baridi-Enika
7.Dakika 1 -Ngwea ft noorah
RIP Roy wa G records
 
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water

Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman

Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora

Hivi wewe mtoa maada NAHREEL unamchukuliaje
 
Kuna sound engineer na record producers, mind that!
 
Sound Engineering.....????Chuo gani wanatoa hii elimu....pale UDSM ipo au ipo humuhumu JF....??Engineer wa sound....hatari sana
 
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water

Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman

Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Hivi unajua sound engineering kweli wewe? Yaani Hayupo Hamy B ambaye amesomea kabisa sound engineering Marekani. Hii list batili tupu
 
Hivi unajua sound engineering kweli wewe? Yaani Hayupo Hamy B ambaye amesomea kabisa sound engineering Marekani. Hii list batili tupu
Andaa ya kwako muweke kuanzia namba 1 mpka 10
 
Back
Top Bottom