Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
Nawewe unataka mpewe chakula buree? Subutu fanyeni kaziMkuu South Africa wanagawiwa chakula na serikali.
Mambo ya TWAWEZA kazi kidogo.
Wafe njaa vipi wakati chakula bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe unataka mpewe chakula buree? Subutu fanyeni kaziMkuu South Africa wanagawiwa chakula na serikali.
Mambo ya TWAWEZA kazi kidogo.
Wafe njaa vipi wakati chakula bure?
SA kutangaza lockdown ndiyo umewaona wako serious?Mkuu, mafanikio ya lockdown kama nilivyoainisha kwenye mada itaanza kuonekana baada ya siku 14 za kwanza.
Ndiyo kwanza lockdown inaanza, kwa hiyo kudai kuwa wenye lockdown wana namba hii ya wagonjwa nadhani ni irrelevant kabisa. Au siyo mkuu?
Ni sahihi hatujajiandaa na kuwaandaa watu vya kutosha.
Lakini nchi ulizozitaja hapo juu mkuu zina wagonjwa wengi.
Moja ina zaidi ya 40.
Nyingine inayozaidi ya 1 000.
SA walikuwa hawana namna....angalia kabla ya lockdown walichokuwa wakikifanya hapa chini
SA kutangaza lockdown ndiyo umewaona wako serious?
Wangezuia isiingie
Nawewe unataka mpewe chakula buree? Subutu fanyeni kazi
Fanya kazi acha kuangalia wakenya piga kaz, hao wanaiga mataifa ya magharibi 1Mawazo duni kabisa. Unadhani lengo la Lockdown ni kupata chakula bure?
Kenyans Mock Uhuru After The President Of Rwanda Orders Door-Door Food Distribution Amid COVID-19
Kama ndiyo mawazo yako basi tena.
Acha, kujilinganisha na wazungu maisha walioishi na wewe ni tofauti sana hebu piga kazi
Tested Negative on Novel Covid-19
Fanya kazi acha kuangalia wakenya piga kaz, hao wanaiga mataifa ya magharibi 1
Acha, kujilinganisha na wazungu maisha walioishi na wewe ni tofauti sana hebu piga kazi
Acha ngonjera zako mkuu, kama unahitaji kukaa ndani wewe jifungie ndani kaa, nunua vyakula vyako weka ndani kaa, jifungie hata mwaka mzimaTWAWEZA mkuje huku yupo mtanzania mwingine anawahusu kama ushahidi kwenye ule utafiti wenu pendwa.
Alipo yeye anajidhania yupo vizuri. Wengine wote wajinga isipokuwa yeye. Hajawahi kusikia ajidhaniaye amesimama aangalie asije kuanguka. Wala hatokaa aje kusikia wala kuelewa maana yake.
Yale yale ya kenge na kuweza kusikia.
Acha ngonjera zako mkuu, kama unahitaji kukaa ndani wewe jifungie ndani kaa, nunua vyakula vyako weka ndani kaa, jifungie hata mwaka mzima
Sijui unaongelea nini mkuu, kama corona, ingeamua kuenea Africa ingeenea tangia mwezi wa 12 maana, ndio kulikua na mwingiliano mkubwa wawasafiri hivyo acha,kulialia biga kaziTWAWEZA mkuje huku yupo mtanzania mwingine anawahusu kama ushahidi kwenye ule utafiti wenu pendwa.
Alipo yeye anajidhania yupo vizuri. Wengine wote wajinga isipokuwa yeye. Hajawahi kusikia ajidhaniaye amesimama aangalie asije kuanguka. Wala hatokaa aje kusikia wala kuelewa maana yake.
Yale yale ya kenge na kuweza kusikia.
Unajidai unaelewa sana mkuu,Imeelezwa sana hii. Lakini kama kawaida yenu hamuwezi kuelewa. Corona si ukimwi. Ndiyo maana hauna cha malkia, prince, waziri au waziri mkuu.
Ugonjwa huu unataka total solution katika nchi si ufumbuzi nusu nusu katika nchi husika. Ndiyo maana kwa wanaoelewa mikwaju na hata risasi za moto zinatumika kushurutisha ufumbuzi kamili.
Si nia yangu kukushawishi kuelewa hata TWAWEZA akikusajili kwake inatosha kuja kuwa reference kwa vizazi vijavyo vitakavyo pata bahati kupenya dhahama hili kuliko dhahiri mbele yetu.
Pia kwa vile akili ndogo na kubwa zote ni maumbile ya maulana si nia yangu kuingia katika majibizano wala maishana nawe. Infahamika "wise men never argue with fools".
Tukimbizane wakati umekwapua suruali niliyokuwa nimevaa? Mwehu atakuwa nani?
Unajidai unaelewa sana mkuu,
Sijui unaongelea nini mkuu, kama corona, ingeamua kuenea Africa ingeenea tangia mwezi wa 12 maana, ndio kulikua na mwingiliano mkubwa wawasafiri hivyo acha,kulialia biga kazi
Corona ilianza, mwezi wa, 12 mkuu, baadaye ndio madaktari wakashituka lkn ilikua ni baadaye sana, na ukumbuke kipindi hicho ndio kilikua,kipindi cha rikizo hivyo kama ni wanafunzi nina, imani warirudi bongo tokea, masomoni kutoka, nchi mbalimbali.pia usisahau wafanya biashara, na wana dipromasia, safari za,hapa na pale. Huko kweny mataifa ya, kubadirisha, ndege ndio usiseme lazima, mwingiliano ulikuwa mkubwa sana, lkn mpaka, leo waafrika wanadundaImeelezwa sana hii. Lakini kama kawaida yenu hamuwezi kuelewa. Corona si ukimwi. Ndiyo maana hauna cha malkia, prince, waziri au waziri mkuu.
Ugonjwa huu unataka total solution katika nchi si ufumbuzi nusu nusu katika nchi husika. Ndiyo maana kwa wanaoelewa mikwaju na hata risasi za moto zinatumika kushurutisha ufumbuzi kamili.
Si nia yangu kukushawishi kuelewa kwani hata TWAWEZA akikusajili kwake mbona inatosha tu kuja kuwa reference kwa vizazi vijavyo vitakavyo pata bahati kupenya dhahama hili lililo dhahiri mbele yetu.
Pia kwa vile akili ndogo na kubwa zote ni maumbile ya maulana si nia yangu kuingia katika majibizano wala maishana nawe. Inafahamika wazi kuwa, "wise men never argue with fools".
Tukimbizane wakati umekwapua suruali niliyokuwa nimevaa? Mwehu atakuwa nani basi?