Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ni sahihi hatujajiandaa na kuwaandaa watu vya kutosha.
Lakini nchi ulizozitaja hapo juu mkuu zina wagonjwa wengi.
Moja ina zaidi ya 40.
Nyingine inayozaidi ya 1 000.
SA walikuwa hawana namna....angalia kabla ya lockdown walichokuwa wakikifanya hapa chini
Na haya ndio mawazo ya watawala wetu, nahisi wewe unaweza kuwa moja ya washauri wao!!
Ni lazima tuache ujinga na siasa kwenye mambo serious, nikiangalia yaliyotokea china na yanayotokea itally na USA tukiendeleza mwazo ya kijinga hakuna rangi tutaacha ona!!